المدة الزمنية 2:10

JOKATE MWEGELO AKIINGIA MABATINI

بواسطة 3D online tv
60 331 مشاهدة
0
102
تم نشره في 2018/08/22

JOKATE MWEGELO AKIINGIA MABATINI Na Omary Mngindo, Mlandizi Pwani Agos 22 MKUU wa wilaya ya Kisarawe Mkoa was Pwani Jokate Mwegelo Jumatano ya Agosti 22 amewaongoza Maelfu ya wapenda soka Mlandizi Mkoa wa Pwani kuishangilia timu ya soka ya Ruvu Shooting ilipokuwa inapambana na Ndanda Fc kutika Mtwara. SHUHUDIA ALIVYOKUWA ANATINGA..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 19