المدة الزمنية 21:44

MAMBO 6 YA KUFANYA WATU WAKUPENDE ZAIDI

360 067 مشاهدة
0
6.8 K
تم نشره في 2020/06/24

Mambo sita (6) ya kufanya watu wakupende zaidi: Ikiwa tutaweza kuwashawishi watu wakatupenda zaidi bila kutumia nguvu basi bila shaka watapenda hata kushirikiana nasi katika baadhi ya mambo yao ambapo inaweza kuwa moja ya njia za mafanikio. Fuatilia kwa makini somo hili na ningependa uniongezee yale ambayo unaona naweza kujifunza toka kwako kuhusiana na topic hii. Karibu . Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email ezdenjumanne@gmail.com Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076 #Mambo6 #watu #kupende

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1058