المدة الزمنية 10:6

Matukio ya AIBU yaliyonaswa kwenye CAMERA bila wahusika kujua.

بواسطة BONGO FASTA
49 186 مشاهدة
0
553
تم نشره في 2021/01/09

Katika ulimwengu wa teknolojia,binadamu haishi katika kumuhofu binadamu mwenzie tu,anaishi pia huku akihofu teknlojia mbalimbali,ambazo zinaweza kufichua ya sirini na kumfanya mtu awe katika wakati mgumu.camera ni moja kati ya teknolojia hatari na ya kufurahisha sana endapo itatumika vizuri,katika miaka ya hivi karibuni camera zimekuwa kila mahali,kuanzia kwenye majengo ya biashara,majumbani,barabarani na mpaka kiganjani,hivyo ni vigumu sana kukwepa kuonekana kwenye moja ya camera hizi.Binadamu hupenda kuchukua matukio mbalimbali kupitia camera,na katika mchakato huu kuna baadhi ya watu hujikuta wakiumbuka au kuaibika,kutokana na matukio waliyokuwa wanayafanya,hivyo leo wacha nikuletee baadhi ya watu ambao wana kila haki ya kupeleka lawama zao kwa teknolojia hii,kutokana na jinsi walivyoaibika.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 34