Baada yakupita siku kadhaa tangu Ibrahim Fadhili mkazi wa kata ya Magugu mkoani Manyara akatwe masikio yake mawili baada yakukutwa na mke wa mtu mke wa Ibrahim amefunguka nakusema mme wake ni muwazi kwake na hajawahi kuwaona wakiwa kwenye mahusiano kwa kuwa ameishi naye kwa miaka miwili
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 105
مقاطع الفيديو ذات الصلة على MKE WA JAMAA ALIYEKATWA MASIKIO AMTETEA MUME WAKE NIMEFUNGA NAYE NDOA: