NI Msanii wa Bongo Fleva Barnaba ambae June 20, 2021 alishika kipaza sauti kisha kuwaimbia Tunda na Whozu katika Baby Shower iliyofanyika nyumbani kwa Tunda.
Tunda kwasasa ni mjamzito na wakati wowote anatarajiwa kujifungua, unaweza ukatazama hii video jionee Barnaba alivyomsimamisha Whozu na Tunda kucheza.