المدة الزمنية 5:44

MANARA AMLIPUA BARBARA - UNA ROHO MBAYA, NAKUACHIA HII SIMBA, UNANIDHALILISHA

بواسطة Global TV Online
234 845 مشاهدة
0
736
تم نشره في 2021/07/22

MANARA AMLIPUA BARBARA - "UNA ROHO MBAYA, NAKUACHIA HII SIMBA, UNANIDHALILISHA" Msemaji wa club ya Simba Haji Manara ameendeleza moto wake juu ya CEO wa club hiyo Barbara Gonzalez kwa kumtuhumu mambo mbalimbali ambayo yanamuumiza na kutaka kuondoka simba sc. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY: http://shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 315
  • @
    @edwinfernandes8881منذ 3 سنوات Manara unapendwaa .kwani hujui mwanamkee akikupenda anakuwaje 37
  • @
    @loner_wolfمنذ 3 سنوات Msitishiane mabavu, kila mtu afanye kazi yake tu. Natumaini Mo Dewj atawasuruhisha na kazi itaendelea kwa nguvu ya mwenyezi mungu inshallah.
  • @
    @mikealeck6447منذ 3 سنوات Haji ni sawa na Cristiano real Madrid, akiondoka ndio mtaelewa maana yke. 6
  • @
    @joeljohnie1080منذ 3 سنوات Huyo barbra hatumtambuiii sis atuachie manara wetu 4
  • @
    @abuyunusmohamed6961منذ 3 سنوات Huyo katumwa na mo akufanyie visa uondoke.Kafungwa kengele na mo.Msemaji mpya wa simba atakuwa mhindi 7
  • @
    @mussatendeli6909منذ 3 سنوات mmeanza kutengeneza tention mtutoe kwenye reli nasema hivi tutawagonga tu 12
  • @
    @simbarajabu4157منذ 3 سنوات Wanawake ni watu wabaya sana shekh manara
  • @
    @lazarombogo2824منذ 3 سنوات Hii sauti ya manara mbaka roho inaniuma manara tunampenda sana sisi Wana Simba hiyo takataka isimzoee manara wetu 5
  • @
    @ahmadchitema836منذ 3 سنوات Vita vya pazi furaha kwa kunguru,,staff wa Simba munarumbana huku wa yanga wakijipanga vyema kuwakabir huko kigoma 7
  • @
    @pauljames5923منذ 3 سنوات babra tuachie haji wetu wew huijui simba toka 2
  • @
    @kimolyjunior7978منذ 3 سنوات Babra tumekuchoka tuachie Simba yetu na manara wetu we Kwanza hatukujuwi waweza kwendaaaaa 2
  • @
    @latifabashiru5598منذ 3 سنوات Hongera kwa kukataa utumwa, mwanamke na mpira wap na wap, tim inaenda kuwa ya wahindi tupu 2
  • @
    @richardlameck1624منذ 3 سنوات Babra aondoke hata na mo azingua wote wasepe Simba hatuna njaa sana 2
  • @
    @saitawilson7307منذ 3 سنوات Simba bila manara hapanaa Barbra out! . 2
  • @
    @amirikoshuma3039منذ 3 سنوات Mm nilishawaambia wanawake wa kiarabu ni sumu huwa wanna jiona ga Sana manara pole Sana nimejisikia vibaya Sana pole Sana haji
  • @
    @cheguevaratv2917منذ 3 سنوات Mnaosema huu mgogoro utaiharibu Simba never. Simba ni kubwa kuliko Manara na Barbara, watazeeka wataiwacha timu! 1
  • @
    @efraimjohn4956منذ 3 سنوات Hahaha, Simba bwana hata mkifanya hz Sanaa tunawachapa tu Wala hazitutoi kwenye reli 9
  • @
    @mohammedmkoma9288منذ 3 سنوات Ila jamani Dr Hamisi Kigwangala alishasema mapema aaa , Big up Brother Kigwangala
  • @
    @mathewseverine9962منذ 3 سنوات Babra hzo busara za kuongoza Simba mbona hazionekan yan ww unajifanya unaijua Simba kurko manara kwel ebu tupishe amsha 6
  • @
    @ahmadbinsaid9335منذ 3 سنوات Salam zangu Kwa bos moo naomba uwe makini manara akiondoka Simba na Sisi mashabik tunamfata mtaenda India mkachukuwe mashabik Sisi tutaondok na manara wetu
  • @
    @rammyrajab4649منذ 3 سنوات Manara tunakupenda to wachaiposiku Atajua mashabiki tunamjua haji munguatakusimamia to haji
  • @
    @michaelhizza340منذ 3 سنوات Manara nakushauri usiondoke babra boya tuu yaan sikio haliwezi pita kichwa na kupenda manara tuna kupenda manara 2
  • @
    @rehemaismail6816منذ 3 سنوات Yote kwa yote please usiondoke Simba Manara
  • @
    @qaboossalim47منذ 3 سنوات Simba goli 5 zinawahusu kigoma kama ni hivi 6
  • @
    @queenmwasanguti2370منذ 3 سنوات Acheni kumuazia Manara jamani Manara ni Simba
    Mnamuonea sana Manara.
  • @
    @hamidriday2352منذ 3 سنوات Haka kamwanamke kalitokea wapi,pumbavu Sana. Manara is another level
  • @
    @abdullaabdulla7039منذ 3 سنوات Brother Haji. Achana na huyo malaya wa KIGOA. Huyo ni malaya. Brother Haji sisi tunakuamini wewe. Huyo Babra kazi yaki nikufirwa tu. 2
  • @
    @habiyamberetheonesterashid6953منذ 3 سنوات Manara mpendwa huku wanyarwanda Kigali tulikua tunagufuata saana sasa njoo huku kwa team ya Rayonsport Kigali .wa Simba hawajuwi kwamba wewe ndo Brand id="hidden2" class="buttons"> ya mpira huko TFF .weye Mamara tunagupenda sana huku wanyarwanda Kigali kbsa.muache Huwo BRABRA ni wa Delila wawa Boss .wanataka kuangucha Musimbaji chini wataona peke yawo. ....وسعت
  • @
    @kassimmnyamisi7461منذ 3 سنوات Kwani huyu Malaya katokea wapi mbona anataka kutuchanganya 3
  • @
    @sakinamakau9879منذ 3 سنوات Naipenda simba sana, ila kwa mauzauza haya cjui km msimu ujao tutatoboa 1
  • @
    @edwardnaubutu2522منذ 3 سنوات Tatizo co ugomvi wenu ni uoga wa kigoma 8
  • @
    @cbdangel3923منذ 3 سنوات Ukweli tutaujua tuu , ingawa una kawaida ya kuchelewa ..na story inabidi tusikilize pande zote mbili , yaan between them .
  • @
    @justinemaingu1460منذ 3 سنوات Manara binafsi nilikuwa nakkubali sana kwa hali yyte ile ila kwa ili umekosea mwanaume hatemi sumu kwenye umma kama ivo kumbuka uyo ni mwanamke ww ilipaswa id="hidden3" class="buttons"> umjibu kwa vitendo ili kumshawishi kuondoa mashaka juu yako najua Babrbra anamachungu na Simba pia ....وسعت
  • @
    @mzafaruabubakari6762منذ 3 سنوات daaa babraaaaaaaaaaaa usitutafute ujui ata robo ya simba ukomeee kabisaaaaa tuwachieee manala wetu achana na sisi kabisaaa 6
  • @
    @zainabujuma4278منذ 3 سنوات Manara kwa kweli ameleta amsha kweli kwa simba wamuache jmn manara.
  • @
    @Deonfnyoniمنذ 3 سنوات Co babra.hyo ni boc wako shida kaka khaji unapenda kuwa juu zaidi ya CEO wa club hyo ni boc wako 8
  • @
    @hakikamusajilamujilamu4723منذ 3 سنوات Manara tuache kwaza umetuuza Sanaa kwa yanga
  • @
    @manjaruu679منذ 3 سنوات Endeleeni kujichanganya kigoma mnakufa 3 6
  • @
    @ilynpayne7491منذ 3 سنوات Daah huyu dada mbwa aisee wanawake huwa wana roho mbaya sana
  • @
    @abdullahjuma9206منذ 3 سنوات mmmh kimeshanuka tiari mi niliwambia mzee mpili ni noma mkabisha mnaona sasa 7
  • @
    @meshackpaul6215منذ 3 سنوات Wanao taka Barbra apite kushoto like apo 4
  • @
    @mbwanakiting7180منذ 3 سنوات Unachambana na mwanamke mitandaoni wewe vipi? Mnagombana Sasa kimenuka.Simba ulianza kabla yako manara.husijifanye wewe ndiyo Simba.bila moh hakuna Simba.pole ndugu jeuri imeisha. 5
  • @
    @mwalimukilumbijongo4712منذ 3 سنوات Lakini Haji kwa nini useme kuvunja urafiki na Hens ni bora uache kazi kuitumikia Simba Sport Club hiyo unaionaje?
  • @
    @somoesalumu7600منذ 3 سنوات Yaani mgema ukimsifia wanawake wanaharibu sana hasa nafasi za juu kumpongeza barbara lakn now anaharibu 1
  • @
    @loner_wolfمنذ 3 سنوات Sasa kwani kakufanya nini huyo dada , alafu Manara huwez kuuza timu, wwe ni msemaji, msemaji hafanyi usajili, msemaji hafundishi jinsi ya kushinda, msemaji id="hidden5" class="buttons"> hawez kuahidi wachezaji, ila msemaji anasherehesha tu tunaposhinda na kushindwa. ....وسعت 1
  • @
    @goodlucklaizer5495منذ 3 سنوات Wacha walete.mizengwe yao tu ila tar 25 tusifungwe, tukifungwa wote waondoke 1
  • @
    @saidhassan9511منذ 3 سنوات Mkude, akapimwe akili. ..sasa hawa ma boss, ,,milembe ..maana sijuwi kama kunausalama hapo simba 2
  • @
    @yacenharuna380منذ 3 سنوات Et n propaganda za mbinu za kumfunga Baba mzazi Yanga SC , hata vtabu vya Dini usltaje jna la Mungu wako bule hyo n dhambi, sema Haji kakosea sana id="hidden6" class="buttons"> kusema mbele ya Media, bora hl angelweka prvt na viongoz wake wakalmalza, kwa hal hii n makosa sana awailze Barcelona toka mwaka 2018 yaliwatokea haya had leo wanajuta, polen sana Watani zangu Mikia FC ....وسعت
  • @
    @hayramswalehe4976منذ 3 سنوات Mwanamke kama huyo ni mbuzi,alisema katongozwa na mkude kumbe nikanafiki 2
  • @
    @clamvevo64721منذ 3 سنوات BARBARA una taka kutufingisha tim yetu wakati haji manara ndo kila kitu kwenye tim yetu ya simba manara tuna mpenda sn barbara ndo mana uka mfanya kiungo id="hidden7" class="buttons"> wetu mkude astopishwe tuna omba manara abaki uyo ndo mwenye hamasa tim yetu barbara ana tuaribia ....وسعت
  • @
    @abdullahjuma3926منذ 3 سنوات A.aleikum.
    Hebu turudini kwa Mungu kila kitu kitakaa sawa ya kwamba, MWANAMKE HAPASWI KUA IMAMU.
    Haji kusaliti Simba ni sawa na kukausha bahari.
  • @
    @timboxlee919منذ 3 سنوات Waambie wakupe hela hao, mkataba wa milioni 4,ndy nini, waambie wakupe hela 1
  • @
    @ip_headerمنذ 3 سنوات Dr. Kingwangala alivyo hoji upatikanaji wa CEO mpya, mlimuona analeta majungu, endeleeni kukumbatia moto, mtakumbuka shuka kukishakucha 1
  • @
    @fredyemmanuel4303منذ 3 سنوات Huu ugovi wenu mngesubir mechi yetu iishe jamani haya malumbano yenu mtasababisha tupoteze tena mechi yetu tutaweka wapi sura zetu jamani
  • @
    @americanfansmcb.i.g4353منذ 3 سنوات Wewe babra acha kujitia wewe tutakuondoa Simba walai huu mwaka hauishi ukiwa Simba Tena usipoangalia be care** 4
  • @
    @janetybubegwa5272منذ 3 سنوات Mpaka hapa Manara umechemka hata kama Umekosewa. 2
  • @
    @jonassemka1048منذ 3 سنوات Nilishangaa Tambo za mzee mpili kumbe mpili wee manara?
  • @
    @joaneslawrent4826منذ 3 سنوات Slow down brother namungo ipo tawi lenu
  • @
    @younglowassa5096منذ 3 سنوات uyo babra jau tu toka aingie simba simuelewi mana mala anazinguane na mkude kwann awamtoi
  • @
    @chafu-0298منذ 3 سنوات Hana lolote uyu manara kelele nyingiii tuu tulia wewe mfuate mkuu wako wa kaziii Kwan wewe naniii wewe ni mpiga kelele tuu usituektie hapa utawapata hao wasio na akiliii kungunii we 3
  • @
    @ngundejkassim3252منذ 3 سنوات ila haji hapa umefeli sannah umekosa usiri, hii inaweza kukuharibia ukashindwa kuchukuliwa hata na timu ya RUVU SHOOTING 2
  • @
    @shaddybmc8342منذ 3 سنوات SIMBA BILA MANARA, HAKUNA KITU. RAHA YA SIMBA NI MANARA
  • @
    @karimujuma6595منذ 3 سنوات Kwa nn uongee Leo wakat mechi kesho kutwa unatengeneza nn kwetu
  • @
    @edwardmkweleleمنذ 3 سنوات Ulitakiwa kwenda kwa Babra na kuongea naye kiundani si hivi ulivyofanya ni ujinga hufai kuwa Simba