المدة الزمنية 7:19

Mafanikio Yako Yanatokana Na Ujasiri Wako - Joel Arthur Nanauka

بواسطة Joel Nanauka
129 686 مشاهدة
0
1.9 K
تم نشره في 2018/11/23

Kwenye Ndoto Yoyote Uliyo Nayo Kuna Aina Tano (5) Za Ujasiri Ambazo Watu Wanakosa Ambazo Usipokua Kua Na Hizo Aina Tano (5) Za Ujasiri Unaweza Kukuta Kila Siku Unakwama Kupiga Hatua Katika Maisha Yako. 1,Ujasiri Wa Kuanza (The Courage To Start) 2.Ujasiri Wa Kuendelea (The courage To Continue) 3.Ujasiri Wa Kukabiliana Na Aibu Ya Muda Mfupi (The Courage To Handle Temporary Shame) 4.Ujasiri Wa Kusimama Peke Yako (The Courage To Stand Alone) 5.Ujasiri Wa Kuvumilia Maumivu(The Courage To Endure The Pain) Ningependa Kujua Katika Maisha Yako Ni Aina Gani Ya Ujasiri Amabao Wewe Unahitaji Katika Maisha Yako? #SeeYouAtTheTop#TimizaMalengoYako#JoelNanauka

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 544