المدة الزمنية 5:38

TURUHUSU WANANCHI WANAWIE GONGO BADALA YA SANITIZER- MBUNGE KISHIMBA

بواسطة CLOUDSMEDIA
51 523 مشاهدة
0
268
تم نشره في 2020/04/06

“Tulikuja hapa na hoja ya spirit ambayo ni gongo, Mkuu wa Mkoa (Mtwara) amechukua gongo ile ameipeleka maabara na imeonekana inafaa kuliko spirit zilizopo. Kwa kuwa wananchi wetu hawawezi kununua hizi sanitizers ambazo zina alcohol asilimia 65 basi Waziri wa Afya aruhusu tunawie gongo ambayo ina alcohol asilimia 55” Jumanne Kishimba #CloudsDigitalUpdates #RipotiYaCAG2020

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 25
  • @
    @emanuelsamson-hq2jvقبل 10 أشهر Ukosawa nduguyetuu kishimba kulayangu kwako ipo tayar
  • @
    @mgonjacharles195منذ 3 سنوات Wewe mbunge elimu uliyonayo ni zaidi ya professor, unatisha. 2
  • @
    @abuuharuna3949منذ 4 سنوات Gongo mzee inaua kabisa vilus vya corona mimi naamini hivyo 2
  • @
    @blandinalukole5535منذ 3 سنوات Jaman wasukuma wana iq kubwa mf, huyu mbunge, msukuma, maguful, gwajima, makonda n.k 5
  • @
    @margarethpolepole7438منذ 3 سنوات Wasukuma na wahaya wanazo dawa sana za kienyeji ukifuatia wamasai 1
  • @
    @keffajacob8952منذ 3 سنوات namkumbuka sasa mzee wa toronto.ni kariba ya huyu kishimba 1
  • @
    @jenifamtima9325منذ 3 سنوات Rais Magufuli uliona mbali kutosafiri nnje ya Nchi maana mara corona paraaah hiii hapa kila mtu na kwao. .na ataleta vifaa tiba vya kisasa Mwihimbili, mambo ya kwenda India kwisha, 1