المدة الزمنية 8:2

DUH MNYIKA APEWA JINA LA CHIFU MALONJA, AKABIDHIWA MSHALE, KANIKI, KIBUYU NA MKUKI

بواسطة HABARIMPYA TV
9 214 مشاهدة
0
65
تم نشره في 2019/12/29

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo John Mnyika amefika jijini Mwanza na kupokelewa na kuteuliwa kuwa Mtemi wa kabila la wasukuma na kupewa jina la Chief Malonja. Wazee wa Chama CHADEMA wanaoenzi mila za kisukuma wamemkabidhi mshale kaniki, ngoma na mkuki pamoja na kibuyu, ikiwa ni ishara ya ukamilifu katika cheo chake. Baada ya uteuzi huo Mnyika alithibitisha kuwa yeye kabila lake ni Msukuma na baba yake ni mzaliwa wa Bukumbi Misungwi Mwanza na siýo wengine wanavyodhani kuwa ni mchaga wa Arusha, isipokuwa mama yake ndio mchaga wa Arusha.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 33