المدة الزمنية 13:41

Julius Mmbaga - NAMNA BORA YA KUSALI ROZALI

بواسطة JULIUS MMBAGA
18 039 مشاهدة
0
165
تم نشره في 2020/05/15

Rozali Takatifu ni sala inayosaliwa na watoliki wengi Duniani. Ni sala ambayo imekuwa maarufu kwa nyakati zote, na imetumiwa na kushuhudiwa na watakatifu wengi wasio na idadi. Karibu na wewe ujifunze kusali Rozali Takatifu. Mungu akubaliki sana.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 22