المدة الزمنية 11:23

PROFESA KABUDI: HATUHITAJI KUKUMBUSHWA KUHUSU KATIBA

بواسطة Mwananchi Digital
17 677 مشاهدة
0
60
تم نشره في 2019/03/04

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa #Palamagamba #Kabudi amesema nchi ya #Tanzania haihitaji kukumbushwa kuwa ni nchi ya kidemokrasia bali itawaambia watu wnyewe.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 29
  • @
    @nimrodmareges3131منذ 5 سنوات Mwanafunzi kachukua nafasi ya mwalimu wake mwalimu na mwanafunzi leo wote wako kazini, Kama kamfundisha akiwa form one Basi Mahiga anastaili kustaafu 2
  • @
    @daudasajile2502منذ 5 سنوات Nmemkubali kabudi kuwekwa sehemu sashhi
  • @
    @alexmarungu2235منذ 5 سنوات Ongera hata sura ni ya kizalendo uraisi unafaa. 1
  • @
    @asteriamasika4173منذ 5 سنوات hakika huo mstari unamaana kubwa, huyo sio mtumishi was mungu kakuambia, la hill no neno kutoka kwa mungu kupitia mtumishi wake, tafakari sana na kuyaishi maneno hayo,
  • @
    @sebamabee5228منذ 5 سنوات Sauti imara yenye uchungu na uzalendo ndani yake. Mungu akusimamie mh 4
  • @
    @innocentpaulchillu1512منذ 5 سنوات Nakumbuka ulipo mteua Prof kabudi,kwenye ile ziara ya nje alipo kutana na kuongea na diaspora,pale ndo nilipo gundua kabudi Yuko vizuri Sana,Tena nikaandika id="hidden2" class="buttons"> mh.prsdnt jpm hakufanya makosa kumteua kabudi,use him effectively .jpm unaona mbali. ....وسعت 5
  • @
    @gabrielmalecela3701منذ 5 سنوات Kabudi wa kwenye lasim ya katiba yupo tofautii kabisaa na kabudi huyuu wa sisiem#. Hizi mbwembwe sio action ,we need development. We need eradication of poverty,we need employment. Nothing else 1
  • @
    @davidremmymsinjili8974منذ 5 سنوات Uongozi wa nchi hauhitaji mbwembwe. Tunataka uwajibikaji na sio maneno. 1
  • @
    @mako331منذ 5 سنوات Kabudi anafaa kuchukua viatu vya Jpm, baada ya miaka 10 2
  • @
    @bahatib.kidesela5423منذ 5 سنوات Je, KABUDI ni mwislam??
    Maana ijayo ni zamu ya UISLAM ktk ngazi ya URAIS.
    4
  • @
    @samsonmagesa3959منذ 5 سنوات Tz kuna Siasa Uchwara huyu Kabudi kwenye Tume ya Walioba kuunda katiba mpya Alikuwa ni mtetezi sana Leo Amebadirika Baada ya kupata Ulaji Tunakumbuka Sana 2
  • @
    @feiz3180منذ 5 سنوات Professor Kabudi, kauli yako kabla kuvalishwa suti ya kudhulumu nabaada ni ya kushangaza kabisa. Unyenyekevu wako uko wapi. Utetezi wako juu ya haki kwa watanzania iko wapi. Jamani njaa na shiba ni mambo mawili tafauti.