المدة الزمنية 6:10

DJ VENTURE ASIMULIA ILIVYOKUWA MPAKA KIFO KIKAMKUTA MTANGAZAJI FREDWAA “HAKUNYWA POMBE”

بواسطة Millard Ayo
28 257 مشاهدة
0
170
تم نشره في 2021/06/14

Siku moja kabla ya Umauti kumkuta Mtangazaji FredWaa alionekana kuwa Pamoja na Watangazaji wenzie na maDJ aliokuwa akifanya nao kazi na miongoni mwa maDJ hao ni Pamoja na DJ venture ambaye amesimulia ilivyokuwa mpaka umauti ukamkuta FredWaa. PLAY kumtazama akifunguka

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 27