المدة الزمنية 1:38

ADHUHURI | | SGR | Atafutwa na polisi kwa kuiba miundombinu ya reli ya SGR

بواسطة Azam TV
1 150 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/12/21

Jeshi la polisi mkoani Simiyu linamtafuta mtu mmoja mkazi wa mkoa huo kwa tuhuma za kuiba miundombinu ya ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR ikiwemo lita 4,000 za mafuta ya dizeli yaliyokutwa nyumbani kwake. Mbali ya mafuta hayo polisi pia wamekuta vyuma na saruji zinazodaiwa kuibwa katika eneo la ujenzo wa mradi huo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1