المدة الزمنية 3:42

TAZAMA ASKOFU GWAJIMA ALIVYOTINGA KWA MBWEMBWE KURUDISHA FOMU YA UBUNGE

بواسطة TimesFMTZ
32 898 مشاهدة
0
112
تم نشره في 2020/08/25

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi. Follow us on twitter https://twitter.com/TimesFMTZ and on instagram http://instagram.com/timesfmtz#

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 61
  • @
    @gracenyangusi6230منذ 4 سنوات Gwajima Oyeeeeeeeeee Kawe chagua Gwajima kwa maendeleo yetu 3
  • @
    @masala8099منذ 4 سنوات Cheo cha ubunge Ni kikubwa kuliko uaskofu ni kauli ya 2020 1
  • @
    @willyclassic9263منذ 4 سنوات Tunapanuaa mipaka semeniii mipaka panukaaa 6
  • @
    @respiciusndyanabo1309منذ 4 سنوات Naona utumie basara usimjibu Halima wewe tunakutegemea sana kuwa kiongozi wetu kuwa mvumilivu 1
  • @
    @josephmongi5756منذ 4 سنوات Mnakwama wapi ninyi watu mnaosema nyie ni watumishi wa Mungu 1
  • @
    @agneserasto9806منذ 4 سنوات Toa Vumbi baba rake ccm kudumu chama cha mapinduzi magufufi hoyeeeeeeee
  • @
    @papafikiriمنذ 4 سنوات Kama umeongoza maelfu ya watu kanisani huwezi kushindwa Kawe 1
  • @
    @rebeccaagunda1417منذ 4 سنوات Mbona mchungaji msigwa hamumsemi? Ni Gwajima tu ndo m7memuona?? Acheni zenu Gwajima atashinda Tena kwa kishindooo halima Alie tuuuu 3
  • @
    @jacksoncharls228منذ 4 سنوات Wafuasi Wa kidude mbona povu linawatoka gwajima noma mtaaibika na demu wenu
  • @
    @thadeomathias6056منذ 4 سنوات Hapo hamuna mchungaji wala askofu tamaa hyo
  • @
    @emmanuelmlule9101منذ 4 سنوات 2010 tulimdondosha james mbatia safari hii tuna mdondosha Gwajima mchana kweupe, Khalima mdee the best 3
  • @
    @fridasiame4639منذ 4 سنوات Baba ushindi ni wetu CCM% Tanzania mpya inakuja 6
  • @
    @kilangavanamaurus7818منذ 4 سنوات Imeandikwa mambo ya kidunia hayadumu,ila mambo ya kiroho( ya Mungu) ni ya uzima na hudumu milele.
    Anaye kwenda shamba kulima kisha akageuka nyuma id="hidden2" class="buttons"> kuangalia alikotoka hafai ktk. Ufalme wa Mbingu.
    Ya Mungu mwachie Mungu,na ya Kaizar mwachie Kaizari.
    Sasa we wewe kikondoo mbona unakwenda kinyume na hayo maandiko matakatifu ?
    Mshika mawili mmoja humpokonyoka.
    Wewe kikondoo lipi litakupokonyoka ? Na mwenye enzi atakupa adhabu ipi kwa kwenda kinyume na maandiko matakatifu ?
    Kila la kheri kwako Mungu wa Mbinguni akutangulie.
    ....وسعت
  • @
    @thadeomathias6056منذ 4 سنوات Halima pambana mama ubunge niwako huyo nae eti mchungaji ulishaona mchungaji na chama wapi na wapi
  • @
    @elibarikdaniel9809منذ 4 سنوات Mla kondoo wa bwana .naona kondoo zimeisha unataka kula vya wengine.subiri goli la mkono
  • @
    @irenemagogo8992منذ 4 سنوات Utakuta na miislamu ipo hapo inashangilia uyo jamaa Atari kwenye uislamu anaenda kupinga haki za kiislamu bungeni msiwe mabwege waislamu.
  • @
    @benjaminiduda1983منذ 4 سنوات Mimi ni mkristo yangu nampa mdee jaman 2
  • @
    @tottenhamsande5209منذ 4 سنوات Utaaibishwa na kuambia.umeacha ya mungu umefuata ya kidunia.ngoja manake mungu atakuaibisha
  • @
    @khalfansharji9790منذ 4 سنوات Waisilamu kawe juweni gwajima hafai kwa alivokuwa akitukana uisilamu makanisani mwake na kihalimamdee nacho kilisha asiiii dini yaani kijike dume maana id="hidden3" class="buttons"> nimwanmke lkn mambo yake yoote ya kiume wote hao pigeninyama shimoni chaguweni vyama vingine CCM nao wanajichanganya wakati mwengine bana. ....وسعت
  • @
    @petermatabwa5085منذ 4 سنوات mbona walokole wakitaka nafas mnaongea mnataka watenda dhambi ndo waongoze?
  • @
    @kilangavanamaurus7818منذ 4 سنوات Imeandikwa mambo ya kidunia hayadumu,ila mambo ya kiroho( ya Mungu) ni ya uzima na hudumu milele.
    Anaye kwenda shamba kulima kisha akageuka nyuma id="hidden4" class="buttons"> kuangalia alikotoka hafai ktk. Ufalme wa Mbingu.
    Ya Mungu mwachie Mungu,na ya Kaizar mwachie Kaizari.
    Sasa we wewe kikondoo mbona unakwenda kinyume na hayo maandiko matakatifu ?
    Mshika mawili mmoja humpokonyoka.
    Wewe kikondoo lipi litakupokonyoka ? Na mwenye enzi atakupa adhabu ipi kwa kwenda kinyume na maandiko matakatifu ?
    Kila la kheri kwako Mungu wa Mbinguni akutangulie.
    ....وسعت
  • @
    @khalfansharji9790منذ 4 سنوات Waisilamu kawe juweni gwajima hafai kwa alivokuwa akitukana uisilamu makanisani mwake na kihalimamdee nacho kilisha asiiii dini yaani kijike dume maana id="hidden5" class="buttons"> nimwanmke lkn mambo yake yoote ya kiume wote hao pigeninyama shimoni chaguweni vyama vingine CCM nao wanajichanganya wakati mwengine bana. ....وسعت