المدة الزمنية 2:52

Mwimbaji Uwezo Alphayo akataa kuongozwa na watu, asema anataka aongozwe na BWANA.

بواسطة Holiness Tv
92 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2019/10/25

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Uwezo Alphayo akataa kuongozwa na watu, asema anataka aongozwe na BWANA. Album ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Uwezo Alphayo wa jijini Arusha imeonesha dhahiri kwamba hataki kuongozwa na watu na hivyo anataka kuongozwa na BWANA kwani ameipa jina linalokwenda kwa "NIONGOZE BWANA" TAZAMA.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0