المدة الزمنية 22:12

Highlights | Tanzania vs Malawi (2-0) | Mechi ya Kirafiki

بواسطة Azam TV
373 717 مشاهدة
0
1.2 K
تم نشره في 2021/06/13

TANZANIA vs MALAWI: Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malawi ‘The Flames’ katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yote yamepatikana kipindi cha pili kupitia kwa John Bocco na Israe Patrick Mwenda huku Kibu Denis akihusika kwenye magoli yote mawili. #TaifaStars #TheFlames Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 120