المدة الزمنية 15:9

POLISI MWANZA WAMNASA JAMAA ANAYEWANYWESHA WANAWAKE DAWA ZA KULEVYA NA KUWABAKA

بواسطة GSengo
57 341 مشاهدة
0
134
تم نشره في 2018/09/14

NA ZEPHANIA MANDIA/GSENGOtV Mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza kwa kujihusisha na vitendo vya kuwanywesha dawa za kulevya wanawake na kisha kuwabaka. Kamanda wa Jeshi la polisi mkoani hapa Jonathan Shana amemtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Kenned John Obworo (35) mfanyabiashara, anayedaiwa kuwalaghai wanawake kwa kuwanunulia chakula na vinywaji kisha kuwawekea madawa yadhaniwayo kuwa ya kulevya na kuwabaka na kisha kuwaibia Pesa na Simu za mkononi katika mojawapo ya nyumba za kulaa wageni ambapo anakuwa amekodisha.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 65