المدة الزمنية 4:33

Helvetas Tanzania na TCCIA pamoja na SIDO waendesha warsha kupata mawazo ya biashara

بواسطة LIVE AFRICA MEDIA
97 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/11/15

Shirika lisilo la kiserikali la Helvetas Tanzania wakishirikiana na TCCIA Dodoma na SIDO Dodoma wanaendesha warsha ya siku moja kuwajengea uwezo vijana 72 ambao wametuma maombi ya kushiriki shindano la andiko la biashara linaloendeshwa na taasisi hizo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0