المدة الزمنية 10:10

MANDELA HUYU NI FEKI ALITENGENEZWA YULE HALISI ALIUAWA MWAKA 1985

بواسطة IBM CHANNEL
81 091 مشاهدة
0
938
تم نشره في 2020/07/27

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 284
  • @
    @aduwopbarack1050منذ 4 سنوات Astounding. Here in Kenya, we say " iko kitu". 14
  • @
    @jasonhiphop2589منذ 4 سنوات Kinacho shangaza nikwamba.Nabii hata awe mwafrica bado wakuthibitisha nimzungu.Lemi Ongala alisema mengi kwenye wimbo wa Wema kumanyoko.This time we have id="hidden1" class="buttons"> Magufuri Mungu aendelee kumpa ujasili sana awatumbue wengi.Hatujielewi sisi weisi pamoja na kubarikiwa na Mungu.Tunauana ktk family levels, uchawi national levels? Ukipanga kujenga nyumba nzuri wakijua wanakuroga????? Mungu tuone sisi wapi tunakosea!!!!? ....وسعت 7
  • @
    @ameirameir4930منذ 4 سنوات ukiwa umezama kwenye kina kirefu cha historia ya Afrika kusini bs inawezekana sana kuna angalau chembe ya ukweli wa makala hii si ya kuibeza moja kwa moja it make sense. 19
  • @
    @erickdick9457منذ 4 سنوات Kamilisha ushaid mzee bado ushaid auna uzito wenda ikawa lakn ushahid bado auna uzito kamilisha ushahid 10
  • @
    @karlmick9422منذ 4 سنوات Wabeberu wamekwisha ifanya dunia kuwa ngumu. Dunia nzima imeaminishwa uongo. Kwenye ufalme wa Mungu kuna mengi sana 14
  • @
    @t.v.a.i.s.s6842منذ 3 سنوات Inewezekana.. Maana huaga hatuelewi. Hii Africa ya kusini wele watu weusi wanavyo kua Wana uwawa, eyi kissa ni MA foreigners. Ukiwa mwenye hakili na kufuatilia id="hidden3" class="buttons"> Hii historia. Inewezekana kua ni ukweli tunaemjua alikua sioo Mandela halisi ....وسعت 3
  • @
    @kipokendirangu2572منذ 4 سنوات Mchungaji hapo ninakuunga kulikuwa na kijana kijijini kwetu alikuwa kafungwa miaka 10 alipotoka jamaa alikuja kumtafuta mke wake kijijini kwa bahati yule id="hidden4" class="buttons"> mkewake hakuolewa na mtu Hapo wawili hao walifulahiana sana ni lishangaa sana wakati Winnie akimkataa mandela ....وسعت 10
  • @
    @emanuelnyab9872منذ 2 سنوات Duu ukute hata Magufuli hakufa bali alitekwa na kufichwa. 8
  • @
    @yasinamiri7649منذ 4 سنوات Kwel kabisa sasa leo ndio nimemuamini my friend toka kwa mandela alinambia kitu nawe ume yaludia so ni kwel kabisa 8
  • @
    @aldogunwillgun8886منذ 4 سنوات Yaan kidogo Africa tumeamka kwakutukusimulia historia ya africa 11
  • @
    @sa3dasa3da87منذ 4 سنوات Inasemekana wazungu washatengeneza sana watu feki kwa faida yao 9
  • @
    @hamadeddymaclayzمنذ 2 سنوات Hii inaweza kuwa kweli kabisa wengi wanasema hivyo 1
  • @
    @momadeatibo6729منذ 4 سنوات ni kweli mandela huyu alikua hawzi kulia wala hawezi kucheka, ni hatari sana. 7
  • @
    @mariamfaicalhassan2890منذ 4 سنوات Tutafutie ya Nigeria nae maana yule wanasema siyo rais wao wakwao alisha fariki @Mwl Benson Mwakilembe , nasikia yule siyo Buharia 9
  • @
    @emmanuelnjelekela6299منذ 4 سنوات Mmhhh Kama ni kweli bass hiili ni tatizo kubwa na ikithibitika wazungu wote wataondoka loohhh 5
  • @
    @prospermlowe9830منذ 4 سنوات Daaah kwakweli sina neno, (no truth in the world by luck dube) 8
  • @
    @leonardchoma3765منذ 2 سنوات Niliwahi kumpuuza mtanzania mmoja aliyerudi nyumbani Tanzania kutokea Zambia mwaka 1987 nilipokuwa darasa la 6 huko kwetu Mbeya mjini aliponiambia kwamba id="hidden5" class="buttons"> Nelson Mandela halisi alikwisha uawa na makaburu muda mrefu.Nilimuona ni Kama adui wa harakati za ukombozi wa Waafrika.Lakini kwa simulizi hii nimeanza kutafakali sana juu ya Mandela huyu ambaye Wazungu wanampenda Sana kuliko hata akina Mwl Nyerere,Mugabe,Patrice Lumumba nk waliopigania uhuru wa waafrika kwa nguvu site.Wazungu ni wajanja janja Sana. ....وسعت 3
  • @
    @adamkasasa4290منذ 4 سنوات Nahic itakua kwel kwa 7bu afrika kucni 83% y ardhi yote ya humo ni yamakabulu na wenyeji 17% y? 7
  • @
    @JafariAbdallah-ot9gpقبل 5 أشهر Duh! Kwakweli hii habari nimejua Leo hatari sana
  • @
    @michaelgodliving5427منذ 4 سنوات Hao wenzake mbona hatukuwahi kusikia kweli hata wakiongea? 7
  • @
    @cytklمنذ 4 سنوات The Mandela effect! ukweli huo inaitwa chrones Mzungu Ni shetani. 20
  • @
    @fredichaki4868منذ 4 سنوات That is true is Technology of human chrone ya kumtengeneza binadamu kupitia vinasaba vya mtu 8
  • @
    @tiffahdangote7548منذ 2 سنوات Kuna virambasi wengine huku! Ngoja tuendelee KUISHI yajayo yanafurahisha 1
  • @
    @allyhuyu1892منذ 2 سنوات Hapana si kweli hakikuhama kipo palepale bali kamera imetumika marambili ili uamini niyuleyule angalia mstari uliopo karibu ya jicho la kulia kidoti kipo kushoto kwake nimandele huyohuyo hakuna feki hapo 1
  • @
    @dillysilly6380منذ 2 سنوات Nashtuka sana
    Hivi tutatoka kwenye mikono yawazungu lini?
    Naumia sana
    1
  • @
    @muungwanaseiph662منذ 4 سنوات Yeah. .miaka 27.then uwasamehe.hapo kwel kuna something 3
  • @
    @IbrahimMohamed-yy2ilمنذ 3 سنوات Mwalimu unaongea Mambo ambayo akili za waafrika zimefungiwa kwa nguvu nyingi, rasilimali nyingi hata kafara nyingi Sana zimefanywa ili akili ilale. Wewe id="hidden7" class="buttons"> mtu wa mungu na watu wachache wanaofunguliwa jicho la tatu ndo huwa wanaelewa Ila miongono mwa wengi utaonekana muongo.. Kwa hiyo ukiona unapinga hili mada Basi omba, funga, toa sadaka omba ufungulie akili yako na muumba wako. ....وسعت 4
  • @
    @yusufumajinge59منذ 4 سنوات Wazungu hawa huwa wanahuu mchezo wafrica fumbueni akili,wanauchawi sana hawa watu,na wanaweza kutengeneza Tsunami kwa lengo la kuzima uchumi wa nchi furani. 15
  • @
    @samuelminja1084منذ 4 سنوات Yaaani unamwita mandela kirambasiii wew chizi tafuta ukweli 1
  • @
    @rashidisadala9460منذ 2 سنوات Nilipo iona hii video ilibidi niende nikajiridhishe kuhusu hiki kisa
    Nimeangalia picture ya Mandela akiwa kijana na akiwa mzee lakin inaonekana hakuna madiriko yoyotee kwenye pua ya hizo sura mbili
    1
  • @
    @msangodiesel3132منذ 4 سنوات Kwani nyerere hajui alivyo kuja kumona 3
  • @
    @BIGBOSS-hl3buمنذ 2 سنوات Hicho kidoti kinahama kama nyumbu WA Tanzania na Kenya Kule serengeti??? 1
  • @
    @deusmauka9626منذ 4 سنوات Nd'o maana alimkataa mke wake maana angemgundua kimaumbile. 20
  • @
    @adammwamba9177منذ 2 سنوات Jibu la hicho kidoti unalo ktk simu yako.tumia camera ya mbele kujipiga picha then pozi hilo piga picha nyingine kwa camera ya nyuma utaona tofauti
  • @
    @greenapple8368منذ 4 سنوات Tunasikiaga habari za mandela kufungwa ila atujui chanzo cha kufungwa nnn itapendeza tukipata iyo story 7
  • @
    @stanlaymanya687منذ 2 سنوات Acha ufala kushoto kwenye kioo ni kulia, acha kutafuta stori za kisenge upeipiga picha mojawapo kwenye kioo ili kutengeneza tofauti.
  • @
    @jaymandy1914منذ 3 سنوات Hata mimi nashindwa kupata picha kabisa aliekufunga gerezani miaka ishirini na saba iwe vipi umsamehe?? Hapo kuna mchezo tulichezewa bila shaka.
  • @
    @mwambarock3696منذ 4 سنوات Isije ikawa hata tundulisu ameshakufa ameludi mwingine daaaaa itaniuma Sana 14
  • @
    @issaali3375منذ 4 سنوات Kamera ya mbele kitojo kinakuwA kulia na kamera k wa nyuma inakua kidoto kushoto 1
  • @
    @calebmutua5838منذ 4 سنوات Mabeberu ni watu wabaya sana hao watu wa magharibi hawafai kabisa inafaa tuamke wafrika 5
  • @
    @linushelbert5529منذ 3 سنوات Mwalim naomba utengeneze vitaba zisambaze tz nzima
  • @
    @jimmycroud1027منذ 4 سنوات Mm mpaka sasaiv nmeamin aisee kwanza cyo kdot tu ata sura n tofaut ila mm tokea zaman nlikuw nasema mbona yuko tofaut sana maana sura ya mandela mwenyew id="hidden11" class="buttons"> n pana Sana ata kama angezeeka ingebak upana wa sura yke lakn uyu waliemtengeza wanye dhambi sura yke n ndogo sana aisee wazungu nuksi ....وسعت 2
  • @
    @roviykamage5423منذ 4 سنوات Huuu ni ukweli, na ndiomana mandela original angetoka gerezani angewavumusha wazungu. Mandela wa kweli aliuwawa mapema 7
  • @
    @emanuelanderson4483منذ 2 سنوات Baadhi ya camera huwa zinageuza image..mfano infinix.tecno..hata kama tisheti ina maandishi hayasomeki..hivo kidoti kuonekana kulia ama kushoto ni kamera id="hidden12" class="buttons"> tu.hivi kwa akili yako wanaweza mbadilisha mtu halafu washindwe kidoti tu.hapo umepuyanga ....وسعت 2
  • @
    @dkmrishokimbesa858منذ 2 سنوات Nndo kwanza nasikia reo hivyo siwezi kuamini wala kupinga
  • @
    @mwanagwakyala3213منذ 2 سنوات Mmmmmmmmh nimechoka kumbe mchezo huu Kitambo umeanza
  • @
    @erastobartalome2709منذ 3 سنوات Hata Mimi kuna mswali nilijuiliza kuhusu Mandela hatimae naanza kupata majibu
  • @
    @bonfacekhaondo8544منذ 2 سنوات Wazungu Wana njama ya kututoa ulimwenguni.kaeni macho kwa Kila linalotokea
  • @
    @philipoinzag2379منذ 4 سنوات Napenda na kufatilia Sana Habari zako lakini kwa hili umetuzingua Ina maana hata nyerere hamjui? Au mke wake kwa nini alishiriki maziko? 2
  • @
    @digostjafety6070منذ 2 سنوات We kuma unakuja kutugeziza picha afu unasema feki ,,,
  • @
    @jenniphermwakasita6830منذ 3 سنوات Inawezekana ikawa nikweli maana wenzi baada ya kutoka Mandela na kuteuliwa kuwa Raisi angewatoa na wenzie aliesota nawo na baada kutoka wangetoa neno kwa id="hidden13" class="buttons"> Wanafika ya kusini ni kweli hatukuwai sikia wala histori haipo ya usia walivyo teseka ....وسعت 2
  • @
    @amosmwakalundwa3031منذ 2 سنوات Even kamuzu banda wa Malawi inasemekana nae ni feki sijui ni kweli?
  • @
    @barakajustine5922منذ 4 سنوات Hapana nimemfatilia Mandela sana ila kwa makala haya ya mwalimu isaya sikubaliani nayo 4
  • @
    @seiflugendo5043منذ 2 سنوات Basi hao walioujua ukweli kabla ya kifo cha mandera ndio wasaliti wa kwanza kuliko hata mandera mwenyewe 1
  • @
    @elisanteabraham3249منذ 4 سنوات Ni kweli ushahidi wako hauna mashiko,kuhusu kidoti kama Una simu yenye kamera ya mbele jiweke alama shavu la kulia then jipige selfie kisha angalia ile id="hidden14" class="buttons"> picha utaona ile alama iko kushoto fanya majaribio ukiona ninachokwambia ni kweli basi like comment hii. ....وسعت 5
  • @
    @bensonmuturi5122منذ 2 سنوات kwa nini alikuja kenya kutafuta kaburi ya kimathi dendan
  • @
    @zainabuabdul7852منذ 2 سنوات muongo mimi mwenyewe kidoti ninacho ila kuna wakati kuipiga picha unaweza kusema fake ila inatokea kutokana ma location yk unakaaje 1
  • @
    @Nuyama1منذ 4 سنوات hiyo kitu nimewahi kuiongea kwa watu miaka minne ilopita lakini watu hawakuniamini na hiyo ilikuja baada ya kuwa na mashaka na mienendo isiyoeleweka ikiwemo misimamo isiyothabiti ya mandela. 22