المدة الزمنية 5:2

Pastor J.D.KIKOTI.Akifundisha NGUVU YA MUNGU YA KULIWEZESHA KANISA KUFANYA MAMBO MAPYA part 1

بواسطة Brighton
115 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2020/01/23

Kanisa la makimbilio EAGT IRINGA ROAD kwa bishop julius donard kikoti Watanzania wote Yesu anawapenda mnakaribishwa nyoote mnaopenda kujifunza neno la Mungu kwa maelezo zaidi unaweza piga namba hii ukiwa na uhitaji wa mambo ya kiroho na ukapata msaada bila shida yoyote +255754891122 karibuni sana Pia jumapili saa moja na nusu hua tuna ibada ya kingereza (english service) na inamalizika saa tatu karibuni sana wakazi wa mafinga na watanzania wote.Pia wenye shida mbali mbaliMathayo 11:28 [28]Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Karibuni naye Yesu atawaweka huru kabisa

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0