المدة الزمنية 2:43

Watu wawili waokolewa baada ya gari kuanguka baharini

بواسطة Citizen TV Kenya
37 857 مشاهدة
0
206
تم نشره في 2021/01/10

Kizaazaa kilishuhudiwa katika kivukio cha feri eneo la Likoni kaunti ya Mombasa, baada ya dereva na kondakta wake kunusurika kifo baada ya gari walimokuwa kuingia kwenye bahari hindi. Gari hilo la kusafirisha watalii lilikuwa likitoka maeneo ya pwani kusini kuelekea kisiwani lilipoingia baharini. Na kama Francis Mtalaki anavyoarifu, visa vya aina hii vimeendelea kushuhudiwa katika kivukio cha Feri

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 34