المدة الزمنية 8:17

MAAJABU YA SURATUL FAT-HA KATIKA UFUNGUZI WA MAMBO YAKO YOTE | | SHEIKH SHARIF ISLAM MUBARAKA

29 068 مشاهدة
0
358
تم نشره في 2020/03/17

Maajabu Ya Suratul Fat_ha Katika Ufunguzi Wa Mambo Yako Yoote Fuata Utaratibu Huu. #masjidmtorotv #miujiza_ya_Quran

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 67
  • @
    @habibaramadhani-xv2edقبل 4 أشهر Alhamndulillah ya Allah.kwa Su ratl Fatha.
  • @
    @zaihumood365منذ 4 سنوات Shukran shekhe Allah akujaze kheri na akuzidishie afya uzidi kutuelimisha. 7
  • @
    @inabikorwaneema8815منذ 4 سنوات Mashaa .Allah Akupe mema duniani na kesho Akhera. 2
  • @
    @khadijaiddi4887منذ 4 سنوات Maa shaa Allah waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh
    Jazaka. Allah khayran sheikh
    1
  • @
    @ashashaban6484منذ 2 سنوات Mashallah.ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI SHEIKH
  • @
    @miangijunior4358منذ 2 سنوات Masha ALLAH shukrani sana Sheikh
    ALLAHU Akuhifadhi Duniani na Akhera Insha ALLAH Amiin
  • @
    @kijangwazay7711منذ 4 سنوات Shukran sheikh nimejifunza mambo mazur 1
  • @
    @zulekhasuleiman9197منذ 4 سنوات Shukran shekhe wetu Allah atfanie wepesi
  • @
    @comrademlewaisavile336منذ 4 سنوات Shukran Jazeera allah akulipe kwa darasa hili nmepata k2 apa. Namuomba allah anijalie nianze kufuata maelekezo haya
  • @
    @haseanatnsanya2079منذ 3 سنوات Shukran sana shekhe wetu mungu akulinde na kheri na vijicho
  • @
    @vdhjhdhdhhhd9332منذ 4 سنوات Asantee sana ..nafsi lnauma kwa hayo usemayo.. asantee kwa kutuelimisha.. 4
  • @
    @mozasaid3869منذ 4 سنوات JazzakAllahu kheri, kweli surat fatiha dawa sana, 1
  • @
    @mohamedjeizan5929منذ 4 سنوات Jazakhallah kher Sheikh kwa mafundisho. Amiin
  • @
    @yussarsaleh5760منذ 4 سنوات Shukran maji ya zamza yanauzwa jeee hapa Dar kaka angu 3
  • @
    @lailashabaani8683منذ 4 سنوات Shukraan sana lakn naomba kujua iyo swalat sunnaa yaan nakuomba nifahamisha kuna sunnat hajjah na sunna za massaa jee unaswali sunna ipi samahan kwakusumbua ila naitaji kujuwa ahsante wajazakah allah khairaan 1
  • @
    @saumuseif9189منذ 4 سنوات Nikweli shekhe nlikua naumwa namguu nikasoma surat fatih maranyingi nimepona kabisa 8
  • @
    @nooromar7772منذ 3 سنوات Vipi utawasaidia mtoto alipata upepo mbaya kulia mara kwa mara kugutuka hushika miguu kuumua sura gani mzuri
  • @
    @nooromar7772منذ 3 سنوات Vipi utamsomea mtoto mdogo anesumbuliwa usiku kwa kulia na kugutuka kama kuona vitu vibaya sura zipi
  • @
    @ninasheby0159منذ 4 سنوات Sheikh kama maji ya zamzam sina siwezi tumia ya kawaida tuu
  • @
    @maryamsuleiman5419منذ 4 سنوات A.alaikum hayo maji ya zamzam cc tunayapata wapi? Tuambie mbadala wakr
  • @
    @bebisheni4380منذ 4 سنوات Asante mwenyezi mungu akubarik lakini mbona umevaa lemba jeusi 1
  • @
    @bebisheni4380منذ 4 سنوات mtihani hayo maji ya zamzam wachoyo hata uwaagize wakirud hawakupi toba weee 1