Mama huyu ametoka NchiNI Kenya kuja kutafuta Watoto wake watatu ambao aliwaacha miaka 43 iliyopita ambapo kwa mujibu wa Mama anasema alipokonywa watoto na baba yao kisha akafukuzwa.Mama anasema alifanya jitihada mbalimbali kipindi hiko ili kuwapata watoto wake lakini hakufanikiwa.Ndipo juzi alipoamua kuja tena Tanzania na kuja katika radio clouds kunitafuta ili niweze kumsaidia kutangaza aone kama ataweza kuwapata wanae.
Kwa bahati nzuri baada ya kipindi kuruka kuna watu walisikia na walikuwa wakiwajua watoto hao pamoja na baba yao ndipo walipowaarifu kuweza kufika waje wamuone mama yao...!
Fwatilia tukio hili la kusisimua kisha ujionee maisha yao wanayoishi sasa hivi baada ya mama huyu kujuana na wanae aliopotezana nao kwa miaka 43.
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah
@Da_Geeمنذ 3 سنواتNimesoma na Mwanahamisi J4 form 5&6 Zanaki High school, ni mpole , mtaratibu, ana upendo wa kweli, hana makuu, ni mnyenyekevu na Mcha Mungu Pia. id="hidden1" class="buttons"> Alikuwa mtulivu shuleni,. Hana makundi , alikuwa na bidii ya masomo sana, sishangai MUNGU kumfikisha hapo. Yaani alifuata ushauri wa Baba yake mdogo kabisaa, hakuwa na Mambo ya wanaume shuleni kabisaa. Hongera rafiki yangu kumpata Mama yako, ni furaha ya ajabu! Mungu yu mwema. Mpokee mama yako,mfurahie kuwa nae na wakati wa furaha, cherish your time with her. Ni Neema MUNGU amekupa. Mtunze Mzee TAJI na mkewe , zidisha upendo kwao pia, yaani hao wazee ni baraka yako. ....وسعت19
@
@meebee2586منذ 3 سنواتGod bless you Mzee Taji ,you are the hero 5
@
@abdullahalkindi9673منذ 3 سنواتMashaallah watoto wa kike wanakuwa na huruma sana kwa wazazi wao hata kama wanawatesa. 7
@
@glorykarim1570منذ 3 سنواتHakuna radio nzuri Kama ya clouds fm jamani maana mabo wanayofanya ni mazuri sanaa yanampendeza mungu❤️ wanapenda geah habibu MTT mzuri 17
@
@juliethhouseofdesigns147منذ 3 سنواتMzee Taji Mungu akubariki kwa moyo uo na mama Taji ubarikiwe. 9
@
@liliankemuma9475منذ 3 سنواتGeah Habibu hongera Kwa kazi mzuri unayoifanya nakupenda Tu saana watching from Kenya 7
@
@palokuthereza2555منذ 3 سنواتMwanahamisi mstaarabu sana ni mtu Mzuri 13
@
@khdigahk4246منذ 3 سنواتUyo mama angekua wanae wanamaisha magum angeumia Zaid yakuumia lkn kafarijika kwa maisha ya wanae Mazur alhamdulillah 25
@
@olivamarunda8318منذ 3 سنواتHuyo BB mdogo Mungu ambariki Sana naye Mungu Ampe heritage 5
@
@memochep9637منذ 3 سنواتNilipoteleana na ndugu yangu 1990 kutoka kenya naomba Mungu siku mmoja tutaonana 5
@
@ruwaidaal-ismaily9099منذ 3 سنواتBaba mdogo Mashaallah lakin ndyo mtu alyomuwa hanywi pombe ndyo maana lakin engekuwa anakunywa engekuwa kashawatimuwa lakin mzee aliwalea vizur Tena ana anawapenda 16
@
@fatumakingi9753قبل 10 أشهرNa mnafanana mwenyezi mungu ampe umri mzee taji na akimtwaa basi amjalie pepo
@
@leahemmanuel9029منذ 3 سنواتMzee Taji atavikwa Taji kwa kazi nzuri ya malezi 8
@
@bosslilyg4390منذ 3 سنواتMzee Taji una fungu lako kwa Mungu, Mungu akupe umri mrefu na afya tele. 1
@
@hanifatanzania7258منذ 3 سنواتKumbe Baba mzeentaji. Muislam. Maashalah basijitahidi kuwaongoza na wanao warudi. Kwa Allah. Mavazi wabadilike ww ndiyomumewalea. Utajua na maswari. Kwa Allah naunaonekana unarohonzuri sana Allah akulipe heri lnshallah 1
@
@spreadlove2119منذ 3 سنواتGea nakupenda unafanya mambo mazuri na ya heri. Halafu umependeza sana darling 31
@
@khamisshee5131منذ 3 سنواتkazi na roho kuuma na kwa yule mama yao alowatelekeza na kuwakana akiona hii clap nyumbani kwa mwanahamisi najuwa huko aliko roho yamuuma sana id="hidden4" class="buttons"> kwa mafanikio ya mwanahamisi shukran sote ni kwako ww dada Geah
@xkingx8041منذ 3 سنواتMungu awabariki clouds FM. Na da geah wewe!! Inabidi nije nikuone 6
@
@mwanamisiramadhan4773منذ 3 سنواتMasha allah hongera sana somo yangu mwanamisi kwa kumpata mamako kina mwana wapole jamani halafu somo yangu pia anavaa miwani pole mwaya class="buttons"> sisi kina mwanamisi hatutaki kuuitwa mwanahamisi ♀️ ....وسعت5
@
@vailethanod1522منذ 3 سنواتMzee taji mungu akupe maisha marefu we mzee nakuombea sana 3
@
@salumalriyamyمنذ 3 سنواتWengi mnamsifu mzee taji. Ni vizuri. Lakini kwa fikra yangu wa kusifiwa zaidi ni Mkewe mzee taji. 1
@
@dorothtobias8053منذ 2 سنواتGea mbarikiwe Sana mmekuwa faraja Sana kwa familia NYINGI. 1
@
@neydenyo6786منذ 3 سنواتMzee taji namfananisha na mama yangu mdogo, aliachiwa watoto watano Mimi nikiwa na miaka2 leo hii nina miaka 25 , baba yangu mzazi nasikia yupo sijawahi id="hidden6" class="buttons"> muona ila mama mdogo hajawahi kutuchoka watoto wote watano. Mungu ana malaika wake duniani ....وسعت36
@
@judithmelvinealuchio8968منذ 3 سنواتkama kweli wa tz muna upendo au ni dunia nzima kuna watu wazuri kama huyo baba mdogo mungu awabariki sana nyinyi wote much love from me 61
@
@janslinjanslin9889منذ 3 سنواتMungu ni mwema kila siku ukimtegemea hawezi kukutupa 20
@
@alfredmbyopyo3126منذ 3 سنواتVery touching story,sijui ipo kwenye kundi gani la huzuni au furaha,ki ukweli hii story imeniliza na hapohapo imenifurahisha, hongera wanakipindi cha leo tena kwa kulifanikisha hili jambo mungu awabariki 1
@
@juliethhouseofdesigns147منذ 3 سنواتGeah nakupenda bure Mungu akubariki kwa moyo wako wakujitoa Mama abaki ata miezi 3 aongee na wanae ikiwezekana ajiandae arudi au watoto waende naye Kenya waone anapoishi ili iwe rahisi kwao kutembeleana. 3
@
@azamajid9530منذ 3 سنواتMashallah mama kakuta mambo meupe kwa mwanae mungu akupe nguvu afya geah 10
@
@ablatuny5406منذ 3 سنواتWanafana sana hasa huyo mjukuu wa kwanza ndio bibi yake mtu mie naona. 34
@
@yusrasalumمنذ 3 سنواتGea umehakikisha mpaka mjengoni yani natamani km uwepo tujue vingi ila mama kakaa kiuwoga sana mana mwanahamisi anataka kujua vitu vingi 10
@
@happinessmwissemwissw1719منذ 3 سنواتDaaaah hii story imenikumbusha mbali sana siku wazazi wetu walipo kufa duuuuuh ndugu walitugawana kama mboga maisha haya 6
@
@sharifaabdullah6825منذ 3 سنواتMasha allah mungu ambariki mzee Taji ni wazee wachache' wenye hekima' alhamdulilah 8
@
@vickymgaya9337منذ 3 سنواتMungu mwema sana na hata hivyo wana miili mizuri mama hajazeeka sana wala watoto wake wanalingana na watoto wao 3
@
@sabihahamadi2287منذ 3 سنواتSubuhanallah jamani wanaume wanahatari kweli mungu ni mwema asante dageya mungu akusimamiye kwenye kazi zako akulinde nahasadi na husuda akupe afya 1
@
@aishasalimaishasalim1323منذ 3 سنواتHii story iliniliza sana Aki mungu ni mwema kazi nzuri gekha 1
@
@zuwenaalamini4158منذ 3 سنواتYaan .mpaka nasisimka Gea mungu akupe maisha narefu 11
@
@janemburu4112منذ 3 سنواتMzee mungu akupe maisha malefu kwa kulea hao watoto na akubaliki sana 1
@
@samsungoman5626منذ 3 سنواتMaashallah mungu mwema hamtupi mjawake nawatakia maisha mema 1
@
@hamidaalhabsi8568منذ 3 سنواتEeeee jamani hakuna kama mama mungu amrehemu huyo Baba yaarabi NA msamehe 2
@
@zakyahya4645منذ 3 سنواتMashallah clouds ni redio mzuri sana mungu atawalip
@
@pendomangalili7501منذ 3 سنواتHongera Clouds Redio, Clouds TV hongera mama kuwapata wanao hongera watoto kumpata Mama yenu, Mungu Ni mkubwa sana 10
@
@minnaaibrahim8994منذ 3 سنواتMmepata mama msimsahau mzee taji na demu wake 3
@
@mariambakari996منذ 3 سنواتMasikini jamani hongereni sana nimejikuta machozi yananitoka kama mimi ndio niko kwa hiyo familia jamani mama amefanana na mwanae dah! Hadi raha kwa kweli 3
@
@allyhamadi678منذ 3 سنواتuyo mama anaitaji sifa katika Kenya kuja kuwatafuta watoto wake na wakati mm nimesusiwa mtoto na mama na mbaka leo ata kumjurie Hari mwanae ataki 2
@
@sweetbertrwiza5982منذ 3 سنواتMzee Taji na mke wake wana moyo wa tofauti 2
@
@Amina-bq2xeمنذ 3 سنواتMjukuu photocopy ya bibi mashaa Allaah 9
@
@lorraineatieno6544منذ 3 سنواتHaki ama kweli wanafanana na mama yao. Baa mdogo ubarikiwe. Nisisi wazazi hukosea watoto.bt Mungu awaunganishe. 1
@
@safiyatheonlything7848منذ 3 سنواتMashallha Munich awaweke lnshallha raha sana nimefurahi kama ndo mm
@
@fatmaabeid9668منذ 3 سنواتMashallah hongera saanaa bint habib mungu atakupa fungu lako
@
@nahishakiyeassuman5541منذ 3 سنواتLove mama kwakwel ani wamefanana Sana kwakweli 2
@
@mahamudali1453منذ 3 سنواتHogera mzee tagi kwa kujitoleya kuwalisha watoto howo viziri tuna kuombeya mungu akuzidisheye inshalah from Toronto canada
@
@immaculeevumiliya5140منذ 3 سنواتKazi nzuli sana umefanya mungu atakulipa
@
@gililwiseمنذ 3 سنواتYaani huyo mzee Taji na mkewe Mungu awabariki sana kwa upendo wa kukaa na hao watoto 6
@
@valenakomba7686منذ 3 سنواتwanafanana sanaa, yaani hao ni watoto wake kabisaa. hata huyo mjukuu wake anafanana na bibi mpaka maumbile . Mungu awabariki sanaa
@
@sharinv8864منذ 3 سنواتVery painful jamani kwakweli wakati wa mungu ni bora sana sasa familia ina furaha jamani. 2
@
@isaacm1852منذ 3 سنواتHaya mambo nilikua naona ulaya tu sikufiria Africa yapo I'm speechless aisee
@
@eshasozy69منذ 3 سنواتDada geah unafanyakazi vzr sana Hongera sana
@
@mwanamisiramadhan4773منذ 3 سنواتMasha allah mzee taji tabasamu lake latoka moyoni ana roho nzr sana kwa kumuangalia tu tabasamu lake allah akupe upendo huo
مقاطع الفيديو ذات الصلة على MAMA ALITAFUTA WANAE KWA ZAIDI YA MIAKA 40/ALIPOKONYWA NA BABA/MAISHA YAO MAPYA BAADA YA KUKUTANA:
Alikuwa mtulivu shuleni,. Hana makundi , alikuwa na bidii ya masomo sana, sishangai MUNGU kumfikisha hapo.
Yaani alifuata ushauri wa Baba yake mdogo kabisaa, hakuwa na Mambo ya wanaume shuleni kabisaa.
Hongera rafiki yangu kumpata Mama yako, ni furaha ya ajabu! Mungu yu mwema.
Mpokee mama yako,mfurahie kuwa nae na wakati wa furaha, cherish your time with her. Ni Neema MUNGU amekupa.
Mtunze Mzee TAJI na mkewe , zidisha upendo kwao pia, yaani hao wazee ni baraka yako. ....وسعت 19
akiona hii clap nyumbani kwa mwanahamisi najuwa huko aliko roho yamuuma sana id="hidden4" class="buttons"> kwa mafanikio ya mwanahamisi
shukran sote ni kwako ww dada Geah
aka bachuchu mombasa ....وسعت 5
Lakini kwa fikra yangu wa kusifiwa zaidi ni Mkewe mzee taji. 1
Mama abaki ata miezi 3 aongee na wanae ikiwezekana ajiandae arudi au watoto waende naye Kenya waone anapoishi ili iwe rahisi kwao kutembeleana. 3
Hongera sana