المدة الزمنية 27:32

Padre Dkt Kamugisha: Ukisemwa usiogope/Mungu ana Plan A-Z/ Yesu alisemwa sana

بواسطة Faustin Kamugisha
12 531 مشاهدة
0
114
تم نشره في 2021/03/14

Ni mafundisho ya Juma la tatu la Kwaresima mada ikiwa ni Msalaba unaongea, ni sehemu kwanza ya mafundisho haya . Mafundisho haya yametolewa na Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha katika Kanisa kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Bukoba. Mafundisho haya hutolewa kila Ijumaa baada ya njia ya msalaba.Mada ikiwa ni Kusemwa ni mtihani, Usijali ni wangapi wanakusema endelea kufanya jambo zuri katika jamii.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 22