المدة الزمنية 18:11

MTAA KWA MTAA: NIKIWA KWA MOROMBO ARUSHA (NAKAMILISHA HESABU YA BOSI)

بواسطة Jodama tv
288 مشاهدة
0
11
تم نشره في 2020/10/01

Sharti injili ihubiriwe ili ule mwisho upate kuja. Unajua kwanini biblia inasema injili ihubiriwe..! Kwa sababu injili ni uweza wa Mungu unaoleta wokovu yaani unaweka watu huru mbali na mateso, vifungo, uonevu wa adui na pia injili inawasaidia waliopotea kurejea kwao. UNACHOHITAJI SIO PESA NYINGI AU UTAJIRI ILI UISHI MAISHA MAPYA BALI NI KUMPOKEA YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4