المدة الزمنية 9:48

USIA KWA WANANDOA | Kaswida Ilofanya Ndoa Nyingi Zidumu (Video Kabambe)

بواسطة Abnau Muhammad
3 905 مشاهدة
0
671
تم نشره في 2021/05/01

Imekuwa Ni Kawaida Sasa Wengi Kufunga Ndoa Pasi Na Kujua Baadhi Ya Mambo Yanayoweza Kudumisha Ndoa Yao, Hivyo ABNAU Wameligundua Hili Na Kuweza Kuja Na Qaswida Ya Kuchambua Kiundani Yale Yanayoweza Kuifanya Ndoa Kudumu Kwa Furaha, Amani Na Upendo Wa Hali Ya Juu. #Ndoa #Qaswida #Nasheed #Usia #Furaha #Upendo #Nasaha #Uchumba #Harusi #abnaumuhammad Qaswida: USIA KWA WANANDOA Wasomaji: Maalim Seif & Ally & Taarik Producer: Cholo (Ahimt) Directed by Abnau Muhammad Prepared by ABNAU MUHAMMAD (0675633974) -INSTAGRAM: https://www.instagram.com/abnau_muhammad/ -FACEBOOK: https://m.facebook.com/SonsOfMuhammad/?ref=bookmarks

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 334