المدة الزمنية 49:43

Hii Ndio Ndege Mpya Iliyopokelewa Na Rais Magufuli Ya 1 Afrika

بواسطة Global TV Online
86 417 مشاهدة
0
418
تم نشره في 2018/12/23

Hii Ndio Ndege Mpya Iliyopokelewa Na Rais Magufuli Ya 1 Afrika Rais Dkt John Magufuli, leo Desemba 23, amepokea Ndege ya kwanza kati ndege mbili aina ya Air-Bus A220 zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania. Ndege hiyo imewasiri leo majira ya saa 10:30 jioni na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Inasemekana kua Ndege hii kwa Afrika nzima Tanzania ndiyo nchi pekee iliyoweza kuinunua mpaka sasa! #RAISMAGUFULI Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 213
  • @
    @davidcurtis8556منذ 6 سنوات Dah! Nilikuwa naisubiria sana hii ndege jamani ninafuraha mpaka najisikia kulia dah! Asante Muheshimiwa Magufuli Mungu akupe umri akulinde na husda lakini id="hidden1" class="buttons"> muheshimiwa waangalie wanaovunjiwa nyumba kwa jicho la pili maana nao pia ni walipa kodi wapate japo nusu asara, Mungu Akubariki sana. ....وسعت 27
  • @
    @beatricerobert3167منذ 6 سنوات Am more than happy for Tanzania but I could not be happy of Tanzania without JPM. May God bless you always.. I love you my President.. 7
  • @
    @abelsabibi6192منذ 6 سنوات JPM is the pride of our nation! Ni wakati mwafaka kwa Watanzania kumuombea sana Rais wetu kwani anapambana kurejesha heshima ya taifa letu na kama itawezekana id="hidden2" class="buttons"> tumuongezee miaka zaidi ya kutuongoza.Najua wapo wasiofurahia mambo haya kufanywa na Rais ndo maana kuna kelele za wanasiasa kuhusu demokrasia japo hawatuambii maana has ya demokrasia. ....وسعت 11
  • @
    @franksiame1790منذ 6 سنوات Mimi na raisi wangu JPM tumejipanga Tanzania kama sauth Africa. Kama nawewe uko tayali basi LIKE. HAPA 59
  • @
    @fidelslick2086منذ 6 سنوات Wonderful Good work Mr President and Congrats to all Tanzanians 1
  • @
    @songashaban1332منذ 6 سنوات Mm na raisi magufuri tumeleta ndege nyingine mtupongeze kwa like nyingiiii 11
  • @
    @sk-wj9orمنذ 6 سنوات salute to you bulldozer.
    May God give you a long life.
    I m overseas but I break down with tears. Happy in my heart. Stand tall again proud of our Motherland once again
    1
  • @
    @jimmymusti165منذ 6 سنوات Mjomba Magu we ni kichwa kingine kwakweli, Mungu akulinde miaka buku ili wananchi na nchi yetu izidi kupiga hatua 10
  • @
    @dani72130منذ 6 سنوات Ahsante Rais na hongera sana, mi nilikuwa nahisi aibu kwa nchi kama Tanzania haina ndege, tumpongeze rais kwa juhudi na kuliona hili, si wote watakao muelewa. id="hidden4" class="buttons"> Tanzania yenye Tanzanite lazima iwe na ndege, hizi ni juhudi binafsi wala sio chama. ....وسعت 10
  • @
    @chiefmahucha6847منذ 6 سنوات Namsubir Kabwe Zuber Zitto, atuelezee jinsi anavoijua hiyo ndege, na kwamba si ajabu akatwambia kuwa imenunuliwa bei GHALI san na huwenda akadai kuwa taratibu id="hidden5" class="buttons"> za manunuzi hazikufuatwa. Na huwenda akamalizia kuwa ndege hiyo si mpya Bali mkweche. Na mwisho atatoa msimamo wake. Bila kumsahau mwenzie alioko Hospital. Nawasubir kwa hamu sana. ....وسعت 12
  • @
    @nsajigwamwakibinga2186منذ 6 سنوات Mungu mbariki na umpe maisha marefu kwa kutuinua na kuwa mzalendo wa kweli pamoja sana jembe magu 2
  • @
    @joshuaabel3386منذ 6 سنوات MUNGU IBARIKI TANZANIA BARIKI KIONGOZI WETU MWAMINIFU KWA WANANCHI WAKE RAIS JOHN POMBE MAGUFURI KWA KAZI NZURI ANAZOZIDI KUZILETA KATIKA NCHI YAKE NA id="hidden6" class="buttons"> KUWEZA KUONESHA UZALENDO WA HALI YA JUU KATIKA KUILETEA MAENDELEO NCHI YETU TANZANIA, AMEN ....وسعت 14
  • @
    @gloriamichael7935منذ 6 سنوات Mh rais Jpm nakuomba sana baba km c ndege mbili tu tuwafikie wale paleee ili tuwapite oooo Jpm may our Lord bring breakthrough upon you and for our country amen 16
  • @
    @aishaaisha4066منذ 6 سنوات My Good baba ye2 magufur mungu akuongoze 8
  • @
    @mwanajumaomahundumla6504منذ 6 سنوات Najisikia raha mpaka nashindwa kuielezea Asante Mungu kwa kutupa mtu kama Magufuli 12
  • @
    @husseinnkenja8149منذ 6 سنوات Hongera mh. Rais hongera Tanzania. Tuendelee kulipa kodi kwa maendeleo ya Tanzania 9
  • @
    @rahmajumanne8438منذ 6 سنوات Daaa amakwer mungu nimkubwa tz nac tunamiriki ndege zetu 12
  • @
    @suleimansalim7845منذ 6 سنوات Safi sana rais wangu dr John pombe magufuli you are the best no one like you mungu akuzidishiye miaka mingi yaku ishi ili uzidi kuwapa raha wa Tanzania 5
  • @
    @shabanjokoro1719منذ 6 سنوات Simbaa raha!!!! Airbus rahaa
    Mungu ibariki Tanzania
    9
  • @
    @fatihiayohana6770منذ 6 سنوات yani hii nnchi mambo haya ilibidi wayafanye akina mkapa la wajanja walikuwa wanakula tuuuu magu ilibidi aje kuipaka rangi tuuu tanzania amepewa mzigo mkubwa sana 16
  • @
    @valentinamussa4212منذ 6 سنوات Majembe kama wewe tunahitaji sana ccm damu damu,hongera mheshimiwa 15
  • @
    @mariacharles7469منذ 6 سنوات wanzania tuunge mkono wazalendo wenzetu siasa tuwaachie wana siasa maana mtu humponda mwanzake kisa hawako chama kimoja na akihamia kwako huyohuyo husimama id="hidden10" class="buttons"> jukwaani na kumsifia mungu atupe macho ya rohoni nakutuongoza mm cku zote wanasiasa nawaona wanafiki. ....وسعت 9
  • @
    @annetmsafiri6704منذ 6 سنوات Mungu akubariki sana rais wetu kwa matunda haya tunayoyaona mungu akufunike kwa damu ya Yesu kristu 2
  • @
    @eliasraphael6229منذ 6 سنوات Hongera sana Rais wangu mungu akulinde 12
  • @
    @fabiankyando1189منذ 6 سنوات Asante sana mh Rais JPM mungu akupe maisha marefu kwani tunaimani Tanzania mpya inakuja 6
  • @
    @shauriernest7934منذ 6 سنوات hata enzi za kudai uhuru wapo waliosema wakoloni ni bora kuliko uhuru wao bado wapo kazi ni moja tu umoja wetu uzalendo knz washindwe walengee mungu akupe maisha marefu mpendwa wetu JPM 2
  • @
    @mohdyussah825منذ 6 سنوات From UAE
    I preciate my president John P Magufuli oyeeee
    5
  • @
    @chiefmahucha6847منذ 6 سنوات Wote tunaomsubir Zitto na wenzie waje kumwaga pumba togonge LIKE hapa. 11
  • @
    @ernestsinje9532منذ 6 سنوات NASIKIA FURAHA I LOVE TANZANIA The gift of my christimas 3
  • @
    @braysonchalamila1655منذ 6 سنوات Ulichelewa wapi kuja kulikomboa taifa hili mh Rais Magufuli? 9
  • @
    @dicksonmugezi7058منذ 6 سنوات Mzee wetu wewe unaangalia mbali si utalii tu ila hata watanzania watajivunia vya kwao wewe ni president 12
  • @
    @salmaothman153منذ 6 سنوات Ahsante mungu na rais wetu john pombe magufuli 7
  • @
    @faithamour2154منذ 6 سنوات Hongera sana rais wetu JPM M,mungu hakupe uongozi miaka 100 safi sana nchi yetu iko juu Tanzania kwa ajili yako rais wetu tunakupenda sanaaaa 1
  • @
    @pasonlucas9481منذ 6 سنوات hongera sana rais wetu Mungu azidi kukutia nguvu nawe uzidi kufanya makubwa zaidi nakupenda sana 2
  • @
    @gloriamichael7935منذ 6 سنوات hata nikipanda ndege za wale natembea kifua mbele c na cc tuna ndege zetu .mambo hayoooooo Tanzania nakupenda sana 15
  • @
    @lubimbijoseph2406منذ 6 سنوات Wapinzan ndan ya ccm na nje najua roho zenu zinawaka but ndo ivu Mungu katenda 6
  • @
    @winndelule2302منذ 6 سنوات Baba mim nasemaje cjawah kupiga kura but 2020 kura yang unayo 3
  • @
    @amashakigelulye7632منذ 6 سنوات kwa pamoja tulips Kofi kwa maendeleo ya nchi 5
  • @
    @anuaryally6177منذ 6 سنوات Ndege ndio iyoo sasa wale vyama vya mashoga wako wapi 12
  • @
    @celeone2655منذ 6 سنوات Apa ndo napoamini kuwa "Action taker is a Game Changer" Ur leader n not A politician.Najua uwez ridhisha wote Well done my dear President JPM 2
  • @
    @badenbensoni7516منذ 6 سنوات Tumuongeze muda wa kutuongoza. Maamuzi ni yetu. Anayebisha tupige kura. 27
  • @
    @muddyjuma7285منذ 6 سنوات nashindwa kujizuia Allah akulinde na kila lenye shari 3
  • @
    @xavierycelsus3751منذ 6 سنوات Naskia raha hadi nalia mwenyewe.daaaaa!!. 9
  • @
    @wahidawahida6675منذ 6 سنوات Yani ww rais inatakiwa uongozee tanzania miaka yote ya maisha yko ww nibora 9
  • @
    @gloriamichael7935منذ 6 سنوات mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni hakuna haja ya kufafanua nimeeleweka 27
  • @
    @t.e.l.cchurchkawekamob8103منذ 6 سنوات Ongera JPM,Lakini Wapumbavu Na wajiga wata kukashifu. 4
  • @
    @araphabakari3398منذ 6 سنوات Asante Mungu kwa kumuona raisi huyu maana wengi watataka wamuone ,wamsikie,wamjue lakini haitawezekana piga kazi Mr presiiii tuko nyuma yako 1
  • @
    @mwanajumaomahundumla6504منذ 6 سنوات ha wale wanaotangazaga Kilimanjaro ya kwao sasa wataisoma kwenye ndege ya Tanzania 18
  • @
    @beatricerobert3167منذ 6 سنوات Rais wangu Sina usemi juu yako ila Mungu akubariki you make Tanzania 5
  • @
    @m.mmarckus6298منذ 6 سنوات Tanzania mpya.sasa tusubiri kuleeeeeee watatwambiaje kuhusu hii ndege 16
  • @
    @zakariamufuruki1725منذ 6 سنوات Big up JPM (Hatuna shaka na JPM ) Hapa kazii tu!
  • @
    @DrFatmaKhanPanAfrikanمنذ 6 سنوات Magufuli Oyee.. Tunakupenda Sana Mpendwa Rais wetu 2
  • @
    @kallahassan4896منذ 6 سنوات kwahuyu jpm watanzania tumuongezee mda wa miaka mitano iwe kuminatano jamani 3
  • @
    @aishaaaa6987منذ 6 سنوات Mashaa Allah m,mungu akuwezeshe uzidi kufanyaje vyema mh. Magufuli
  • @
    @elizabethmwandu6937منذ 6 سنوات Hongera Mh Rais kwa kazi nzuri unayotufanyia watanzania
  • @
    @sigfridshayo4715منذ 6 سنوات Chatting from Japan.Hongera sana Magufuli.Hakika unatupatia tunachopaswa Watanzania.Demokrasia ya ukweli ninayoamini mimi ni Kuwaletea wananchi maendeleo,ila sio inayohubiriwa na Mabeberu na vibaraka wao.Piga kazi baba
  • @
    @shauriernest7934منذ 6 سنوات asante sana mh wetu mpendwa baada ya miaka mingi ya viongozi swenye uzalendo wa kweli kama Nkuruma GHANA ,Lumumba DRC moses mashely musumb iji NELSON MANDELA SA BABA YETU WA TAIFA HILI JK NYERERE sasa ni mh JPM 1
  • @
    @flowinkilangira1545منذ 6 سنوات Huku ndege linatua huku mnyama anapiga MTU piga keleleeeeeee 7
  • @
    @veronicascottmollel7897منذ 6 سنوات Wapi Zitto Kabwe ? Mugufuli hoyeeeeeeee!!!! 3
  • @
    @lulushambazuri4861منذ 6 سنوات Mnao dislike ole wenu mkaipande maana kwakutaa hamjambo ila kupanda kimyakimya wa kwanza 2
  • @
    @chusseboywcb2808منذ 6 سنوات Ogera selekali ya mangu uko vizuri sanaa nakupenda kula yangu hata usipige kampeni 1
  • @
    @shammoha5297منذ 6 سنوات Air Tanzania oyeeeeee! Magufuli oyeeee! Ccm oyeeeee! Mungu ibariki Tz n watu wake. Ameen yaa Rabbil allamiin
  • @
    @anuaryally6177منذ 6 سنوات Rais mchapakazi kwa vitendo akuja kuwavesha kanga na vitenge amekuja kuleta maendeleo ya watanzania 10
  • @
    @husnajohn7466منذ 6 سنوات Hata misri waliteseka miaka 40 lakini musa aliwapeleka ka an japo musa hakufanikiwa kuvuka MTO Jordan, jpm ni binadamu sio mkamilifu ila anatimiza ahadi kwa vitendo 3
  • @
    @petermwenda1186منذ 6 سنوات duh ulaya kama choon kama VIP like hapa twende sawa magu baba mungu akulinde heshima kwako
  • @
    @emmanuelaxwesso2529منذ 6 سنوات Nampongeza Rais kwa juhudi kubwa aliyoionyesha kuifufua shirika la ndege ila tunaomba wananchi tufahamishwe mapato yanayotokana na ndege hizi zilizonunuliwa 4
  • @
    @MajiTakaMajiمنذ 6 سنوات Fedha za uchaguzi wa 2020 wazipangie matumizi mengine tu 2
  • @
    @geraldemmanuel210منذ 6 سنوات Kwamtazamo wangu naona 2020 kusiwe nauchaguzi. Mh nilikukubali hata ulivyokuwa bado Waziri .Magufuli Oyeeeeee!!!! 1
  • @
    @musitafaidulusi154منذ 6 سنوات The best president in Africa if am not mistaken even in the world
  • @
    @elizabethmalingumu5537منذ 6 سنوات Kwan zamani magu alikuwa wapi saivi Tz ingekuwa kama ulaya gonga like kama wampenda raisi wetu 1
  • @
    @chrisamrichards6045منذ 6 سنوات daaaah mr president wewe ni jembee
    hatari sana daah
    najua bdo nasubiri maendeleo makubwa Mwanza
    am waiting for your implementation.
    1
  • @
    @flavianamwaunga1310منذ 6 سنوات Umejipanga rais wetu hongera sana mwaka huu wataisoma
  • @
    @shauriernest7934منذ 6 سنوات asante baba mh JPM tunalala tunaamuka salama tunafanyakazi zetu vyema hiyo DMKS ni zana ngani kwetu? tupo kifua mbele 1
  • @
    @georgeburtonburton6740منذ 6 سنوات Mungu akupe umri mrefu uendelee kutufanyia mambo mazuri mh.rais magufuli
  • @
    @gggjjahhhh9419منذ 6 سنوات Raisi wetu wapo wanaokusema vibayaaa wanakupondaa ila mimi nakupenda na ntarudi tena Tanzania 2020 kukuchagua tena Inshallah
  • @
    @matondomahona5989منذ 6 سنوات Mkuu, ww mpaka kufa kwako, na asiyetaka ahame nchi, maana zpo nyingi tu 2
  • @
    @thomasaloyce6164منذ 6 سنوات Ndio taifa ndo linakuwa ila ka no ushamba kupokea ndege kwa ngoma na mapambio na national media broadcast ikiwepo.. geez we need to grow up
  • @
    @amrikadomo8328منذ 6 سنوات hakika watanzania hawaamini mambo ambayo Rais watu ana Fanya hakika mungu aendeleee kumfunulia
  • @
    @s.simponda138منذ 6 سنوات Leo ninafuraha kweli! Simba kashinda ukijumlisha na ndege! Yani mambo ni mwemele! Mwemele! 7
  • @
    @charleschoma9555منذ 6 سنوات Raha Sana usimamizi mzuri siku ya leo magufuri raha Tanzania raha simba Tanzania Raha bao 3-1