Jinsi ya kupika pilau linalochambuka vizuri - pilau ya kondoo au unaweza kutumia nyama yoyote au kuku
Mahitaji
▶mchele vikombe 2
▶nyama ya kondoo nusu kg
▶Maji ya kuwivisha nyama
▶mafuta ya kupikia vjk 3 mpaka 4
▶kitunguu maji 1
▶viazi mviringo 2
▶hoho kiasi
▶carrot 1 ndogo
▶kitunguu saum tangawizi kjk 1
▶chumvi kiasi
▶curry powder kjk 1 kidogo (si lazima )
▶majani makavu ya mvuje kiasi (si lazima)
▶Spicy ya pilau kijiko 1 cha kula - unaweza kuona recipe yake hapa 👉 /watch/0ijD3IIzUgBzD
✔instagram; jifunze_mapishi & shunaskitchen
for business enquiry only
📧 shunaskitchen@gmail.com
____________________ ____________________
Ingredients
▶2 cups rice - basmati
▶1/2 kg lamb meat
▶water as required
▶3 -4 tbsp olive oil
▶1 red onion
▶mixed peppers
▶1 small carrot - chopped
▶1 tbsp garlic ginger paste
▶salt to taste
▶1 tsp curry powder - optional
▶few curry leaves -optional
▶pulao masala - watch how to make a pulao masala at home /watch/0ijD3IIzUgBzD
__________________________________
@FromTanzaniatoNorwayمنذ 4 سنواتYour swahili gives me life, well done mama, looks delicious! 1
@
@amoursayyid419منذ 4 سنواتMaashaallaah Allah akulipe wema na afya njema kwa darasa lako 1
@
@jackienganga5338منذ 6 سنواتThank you so much for showing us how to make pilau masala in the other video! The pilau here looks yummy as well, I haven't tried it with potatoes and carrots but I will. 4
@
@gicherucarolمنذ 4 سنواتAsante sana Dada, niliitumia recipe yako na ilinipendeza! Mungu akubariki 2
@
@fsalim2529منذ 5 سنواتMashaAllah.pilau powa nameza mate tuu..napenda unavo eleza kwa makiini. Allah akubaarik. 1
@
@alleyqمنذ 6 سنواتLike your straight to the point presentation. 16
@
@crazybebiyot3930منذ 6 سنواتwow asante sana nmetamani kwa muda mrefu kujua kupika pilau
@
@hilmiyayah9311منذ 5 سنواتmashallah hasbiyallah napenda sana mapishi yako Allah akuweke uzidi kutuelimisha zaidi
@
@mohammedrashid9606منذ 4 سنواتNayafurahia sana mapishi yako ni mazuri sana na unaelezea vizuri sana Allah akubariki uzidi kutuimisha inshaallah utafanikiwa 2
@
@ichukagaum9732منذ 6 سنواتMaa asha Allah asante maana kuna sehem tunalipua tu. Asante kwa kunifundisha nikirud nyumbn kwetu niwapikie
@brigitanicetas3201منذ 6 سنواتasante mnooo leo mepika hii pilau ni tamu balaaaa
@
@umyalykaneza1382منذ 5 سنواتMaashallah pilau limependeza sana, asant kwa mapishi yako
@
@zakiajuma502منذ 5 سنواتNimekupenda dada nkuwa sipendi kabisa kupika but now navutiwa sanA na nahs ninakoelekea kuwa na kwangu nimedaliod video kama 4 hiv as kwako shukrani kazi nzur kutujuza
@mketosaad6565منذ 5 سنواتMashaallah data shines kitchen namm ntajaribu
@
@umyalykaneza1382منذ 5 سنواتLeo nimepend kupika pilau hii kwa ajili ya ijumaa, maashallah niliipik kama hiyi pilau Yako na ilikuw tam sana, shukran kwa mapishi mazuri sana
@
@marywambui6899منذ 4 سنواتNataka ukuje kwangu unipikea nko na birthday
@
@daudabdi7588منذ 6 سنواتthanks madam i cooked pilau that i am proud of thanks to you
@
@fredmbuvi8390منذ 6 سنواتAwesome just did the pilau n it ws awesome . 1
@joycedaudi8765منذ 6 سنواتAsante sana Kwa pish ila Naomba kujua Kwa nini una vaa gropsmikononi
@
@foreveryoung6036منذ 6 سنواتNa pilipili ya kukaaangaa na maembena juice ya mango 6
@
@nuhusinani2011منذ 6 سنواتasante dada kwa elmu ya mapishi. mm nakuwomba unipatie namba yako ya cm ili nifahamu wapi unapatikana na nikufate nataka nijifunze kupika dadaangu.
@
@newnew9048منذ 5 سنواتShuna ASAANTE SAANA NAMAAZ PILAU MZURI SAANA (Nassau Kiswali sasa.40 years in Canada ) ASAANTE SAANA DADA
@
@winniebird5639منذ 6 سنواتhow do i make my own pilau masala. ? asante
@
@38wahidaمنذ 6 سنواتNataman saiv niipate iyo na joto ili na juice ya ukwaju 13
Nikimaliza nalala hapo 56