المدة الزمنية 32:5

WAZIRI AWESO AMBANA KIONGOZI ALIYEMDANGANYA, Ampigia SIMU KATIBU MKUU - WAONDOE

بواسطة Global TV Online
19 225 مشاهدة
0
77
تم نشره في 2021/03/03

🔴#LIVE​​​: WAZIRI AWESO AMBANA KIONGOZI ALIYEMDANGANYA, Ampigia SIMU KATIBU MKUU - "WAONDOE"... WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, ameendelea na ziara yake ambapo amekutana na Madudu baada ya kiongozi kumdanganya, Waziri Aweso kutokana na hayo amemuagiza Katibu mkuu wa Wizara kufumua uongozi DDCA.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 45
  • @
    @user-od7kl1eb8dقبل 10 أشهر mwanangu juma mungu akupe maisha marefu
  • @
    @abdulsaleh4640منذ 3 سنوات Mwenyezi mungu azidi kukulinda tunakuombea sana waziri wetu uendelee kuchapa kazi. 1
  • @
    @charesslutandula2459العام الماضي Uwesoooo watu warakufaaaaa mguukwamguuu nimeipenda sanahiyo
  • @
    @hamidaomar5137منذ 3 سنوات Mheshimiwa mungu akulinde umetukumbusha baba alietangulia mbele yahak
  • @
    @charesslutandula2459العام الماضي Nimekupenda sana wanafanyakazi kimazoea
  • @
    @enockngohel5737منذ 3 سنوات Kama umesikie neno viko store twende ukanionyeshe gonga like hapo twende pamoja 1
  • @
    @zahorhaidi4525منذ 3 سنوات Wallah ikiwa hivo kila idara watu watanyooka kazi zitafanyika kwa halali
  • @
    @efrahfarahahmed8960منذ 3 سنوات Wazir anahuruma sana angekuwa magu weee
  • @
    @kasimally5651العام الماضي kuna neno limetamkwa nakuheshim gonga like hp
  • @
    @ameenaabdood2974منذ 3 سنوات Nakupendea icho ndg yng umuonei mt na unasema ukweli
  • @
    @user-vh3yh2ec8rقبل 8 أشهر Yn ww inabidi uwe Raisi wa baadae ili uinyesha tz
  • @
    @sanisani5266منذ 3 سنوات Wana viuza sana hamna kitu stoolah ingekuwa ukaguzi huu kila siku wangenyooka 1
  • @
    @frankkaijage9726منذ 3 سنوات Waziri simama hao Watakupaka matope. Washezi tuu.majizi tuu
  • @
    @mariamjuma4136منذ 3 سنوات mwalimu na wanafunzi jmn mbadiriki ss izi zama nyingine
    Watu wazima na family zenu si aibu iyo
    Wajibikini jmn kazi ni zamana kazi id="hidden1" class="buttons"> ni ibada fanyeni kazi kwa uadilifu
    Pole sn mh Aweso unajizibiti at hasira zako
    Maana unaweza kurusha at Kofi kwa hasira mungu akulinde
    ....وسعت
  • @
    @tumahamza8972منذ 3 سنوات anatamani ardhi ipasuke atumbukie. Hivi kwanini watu hawataki kubadilika? Wanafikiri watasema uongo na waziri aitikie tu. Sie kipindi hiki. Hizo zam id="hidden2" class="buttons">a zilishapita. Sasa hivi kazi,maelezo kwa evidence. Safi sana. Vijana oyeeeee ....وسعت
  • @
    @edyhasan9071منذ 3 سنوات Alie sikia kuwa mimi nataka niwasaidir ndio maanaaaa nini tenaa hiii utafelii waziriii utatumbiwaaaa
  • @
    @charesslutandula2459العام الماضي Hao wamekalia uchumi hata mishahara wangejilipa wenyewe
  • @
    @tumahamza8972منذ 3 سنوات Tena huyo Peter anaonekana ndio kiongozi wa uwongo.
  • @
    @mankamassawe1266منذ 3 سنوات Auweee comments tuu mimi hoi binadamu tuna kaz sana mtu hujajua chanzo unakurupuka kujibu na kufurahia eeeh kwel hii ndio Tz
  • @
    @ameenaabdood2974منذ 3 سنوات Mkulya bishoo km muhaya lkn unapiga kz vzr nakukubali nitakupa mwanangu wa kiahaya bila mahali
  • @
    @charesslutandula2459العام الماضي Weka kiongozi darasa lasabauone wanavyochapakazi
  • @
    @abiollashayo5698منذ 2 سنوات ukubwa raha jamani.unafokea hata wakubwa zako,vijana rika lako.yaan raha utamu
  • @
    @ameenaabdood2974منذ 3 سنوات Yn ataviongozi wengine waige mfano wako
  • @
    @muebraniamuebrania145منذ 3 سنوات Viongozi wa juu nikama mko na dhamira ya kufanya kazi km Mh rais alivyodhamiria kutusaidia raia,lakini mliowaweka uko chini wengi ni makanjanja.Poleni viongozi wetu, safari ya maendeleo bado ngumu sana.
  • @
    @edwinmbelle4207منذ 3 سنوات Waziri tunaomba tusambaziwe maji yombo vituka , Buza Dsm ni miradi wa siku nyingi Sana !!!
  • @
    @catherineplatnumz3309منذ 3 سنوات Muheshimiwa waziri mwenyezi mungu akupe nguvu daima kweli amekuongopea lakini umeweza kumsamehe inchji ila siku nyungine asirudie Mimi kama RAIA wanchi hii akirudia tena kukudanganya nitakukumbusha ili umuondoe kazini 3
  • @
    @jenifamtima9325منذ 3 سنوات Yaani ndio rahaa ya kuwa na mawaziri vijana. ..babu kama ufanyi mazowezi leo utaipata .hahahaaaa! Akuna kitu hapo wanadanganya, jana wamemdanganya Rais id="hidden5" class="buttons"> eirpot leo waziri. ..Tanzania yetu. awaishi awoo wako kama vile mchwa, madudu tupu, kaguweni na Elimu zao wanapeana kazi kienyeji, ....وسعت 1
  • @
    @mariamjuma4136منذ 3 سنوات mwalimu na wanafunzi jmn mbadiriki ss izi zama nyingine
    Watu wazima na family zenu si aibu iyo
    Wajibikini jmn kazi ni zamana kazi id="hidden6" class="buttons"> ni ibada fanyeni kazi kwa uadilifu
    Pole sn mh Aweso unajizibiti at hasira zako
    Maana unaweza kurusha at Kofi kwa hasira mungu akulinde
    ....وسعت
  • @
    @tumahamza8972منذ 3 سنوات anatamani ardhi ipasuke atumbukie. Hivi kwanini watu hawataki kubadilika? Wanafikiri watasema uongo na waziri aitikie tu. Sie kipindi hiki. Hizo zam id="hidden7" class="buttons">a zilishapita. Sasa hivi kazi,maelezo kwa evidence. Safi sana. Vijana oyeeeee ....وسعت
  • @
    @jenifamtima9325منذ 3 سنوات Yaani ndio rahaa ya kuwa na mawaziri vijana. ..babu kama ufanyi mazowezi leo utaipata .hahahaaaa! Akuna kitu hapo wanadanganya, jana wamemdanganya Rais id="hidden10" class="buttons"> eirpot leo waziri. ..Tanzania yetu. awaishi awoo wako kama vile mchwa, madudu tupu, kaguweni na Elimu zao wanapeana kazi kienyeji, ....وسعت 1