المدة الزمنية 3:29

ZARI Amekuwa 'KICHAA' Sio kwa Kuchanganyikiwa Huku Baada Ya Alichofanyiwa Na Diamond

بواسطة Hot Chamber
93 698 مشاهدة
0
243
تم نشره في 2018/03/08

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 66
  • @
    @shuuathuman93276 years ago tunazitaka habari za mzee majuto kwasasa anaendeleaje. nasio huyo amisa ungejua sikependi hicho kipaka. nakuambia wewe mtangazaji 1
  • @
    @samueljr91056 years ago Nadhani huyu ni mtangazaji wa diamond na mkewe pekee sioni kama analipwa na shirika kwa hizi habari za kitoto hivi 2
  • @
    @tunjewehu98576 years ago Huna kazi kalime usababisi umepitwa na wakati😤
  • @
    @celinamathias91056 years ago yaani,hamnaga habari nyingine nihawa tu watandalee uzuri kwenye vibaka huko na mafuriko tumechoka bwana siye mnamaliza mb zangu
  • @
    @mariammgeni14106 years ago Km mnatupa dose hii imezidi maana umbeya unaotupa hauna kichwa wala miguuu.. 4
  • @
    @fatumaababy12816 years ago What's goes around comes around. No woman should be treated bad without a reason sio vizuri kabisa.stay strong zari its life.Diamond if you have decided to live zari just live her in peace yote haya ya nini she ur baby mama give her just that small respect. I hate to see women been treated bad no matter who sio poa kabisa😩😕😡 ... 16
  • @
    @mamual-habsi42666 years ago Jamaaani binaadam tuna mambo kwer arikuw hapost huyoo durriy turikuw twasemaa sasiv yumpost mwanae twaongea tenaaa sas mrikuwa mnataka jeeee duuuuuuh khtar Mond fqnyaaa ykoo na family ln shaa allah 1
  • @
    @aystv59986 years ago Hawana la kusema wameishiwa. Wanashulikia zinaa Ndio faida yao 1
  • @
    @lilianmwakapala36586 years ago ukitaka kufa we kufa maana na wewe unaendekeza ngono
  • @
    @fatmaalrashdi15776 years ago mmetuchosha leteni habar za maana kilasiku umbeya wa kijiga ndio maana siku hizi kilasiku watu wanapotea sababu ya ujinga wenu 6
  • @
    @faidadusabe92496 years ago hmmm zari 🙄😂, aca niceke 🤔, utauliwa na nini ? mwenyewe ume aga BBC ao watafuta comments 😏, ivi nna ona kama nyumba kwisha pangishwa mwengine vile, pole yako bibi zari...
  • @
    @shouldaback24016 years ago Am fed up of thiss sought of nonsense TANZANIA!
  • @
    @josephinedavid30726 years ago diamond, ulipaa kumpa Zari heshima kama alivyokupa heshima kwa kukuxzalia watoto wakati hao wengine walitoa mimba zako. sasa umepata heshima ya kuwa baba ndiyo nao wanakuona wa maana na kutafuta kuzaa na wewe ili wakombe fedha zako. siyo hivyo tu unaonekana huna heshima kwa kuzaa zaa ovyo na kuwa na watoto kila mahali, ucifikirikuwa na nmali ndiyo kutawapatanisha watoto wako bali heshima ya nnyumba yako unaitengeneza mwenyewe kwa kuwa na mahusiano ya kweli pale unapokuwa na msimamo wewe mwenyewe. jifunze kwa Rais mstaafu BARACK OBAMA. UTAPENDA MAPENZI YAKE KWA FAMILIA YAKE. CIO KUZAA ZAA OVYO. Mapenzi siyo pesa ... 5
  • @
    @lilianmwakapala36586 years ago kama umechoka na maneno ya watu au mumeo achana nae uyo diamond Lea familia yako wewe utakuwa mjinga kama utakuwa unarudiana na uyo mjinga wako diamond
  • @
    @joycjames73626 years ago nimwanae pia ujinga tuu unawasumbua nyie 3
  • @
    @issamjeda54616 years ago nyinyi mnazingua mnaukanisha mambo wla hayaingii akilini ili mpate pesa
  • @
    @saadakiyungi13846 years ago Huyu Mama tangu alivyojua mtandao basi hatuhemi
  • @
    @omarychediel13076 years ago Wacha Dully apostiwe simtt wake mond hao wa zari ulimwengu wote wanawajua kwakupostiwa zamu ya Dully sasa
  • @
    @isacknguvumali34456 years ago Una jurge vitu hata havina usha hidi wowote tafuta hela kwa njia halali alaaa
  • @
    @fatmaalrashdi15776 years ago sasa mjitahidi wakinya mkatazeme mavi ya rangi ngani mtoe kwenye habar zanu 10
  • @
    @isakajunior48736 years ago Nyie ndo wanafiki namba moja mnatengeneza heading za kiumbea umbea 1
  • @
    @cheupestefano33036 years ago Zari also umezidi stay out of the media what are you trying to prove with these fools? Zari you are degrading yourself you made a mistake kuzaa na low life now you are making a mistake going down to their level 1
  • @
    @rizikeyernest92606 years ago acheni mambo sa kisenge nyie wambea batil, toen tarfa znazoeleweka
  • @
    @Joze-ko9he6 years ago Sababu kaandika bibi duly ndiye mtoto wa kiume yupo nae
  • @
    @georgettetiemele82206 years ago Expliker nous ce ki se passe réellement entre zari et diamond svp, sui ivoirienne et je ne comprend pas votre langue.mci
  • @
    @rachellebahati65106 years ago Apaaaaana.mondi wa Wema.wengine mchepuko 2
  • @
    @dianajafety48886 years ago Afu wasanii wame2geuza mashabiki kama fuata upepo wao wanatafut kiki wenyew mwxh wa ck maxhabiki ndo mnao2kanan kweny coment afu wakirudian mnaanz kuwa saport napend kaz zao skendo nawaachia wenyew cwez guswa na xhd zako kwan zang zmenizd akili 2axhiane kweny nymbo 2 ...
  • @
    @herziminamaige73836 years ago jamani Tanzania mtihani umbea kifuatilia habari za watu
  • @
    @sumanlugwila59136 years ago kwanza zari saiz ndio amekuwa mrembo zaid 4
  • @
    @user-yz7rq6ef1y6 years ago nyoo pumbavu mupambane na hali zenu kudadke