المدة الزمنية 2:20

Selasini aeleza sababu za yeye kuhudhuria bungeni

بواسطة Azam TV
1 998 مشاهدة
0
22
تم نشره في 2020/05/04

“… niko hapa kwa sababu ninaujua wajibu wangu,’ Mbunge wa Rombo kwa tiketi ya CHADEMA, Joseph Selasini akilieleza Bunge sababu za yeye kuwepo bungeni wakati chama chake #CHADEMA kikiwataka wabunge wake kutohudhuria bungeni na kujiweka karantini. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 7