المدة الزمنية 5:5

JOSEPH SELASINI: UNACHUKIWA,KUTENGWA NA KUSIMANGWA SANA UKIWA CHADEMA, NAHAMIA NCCR MAGEUZI.

بواسطة Fullshangwe tv
256 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2020/04/28

Mbunge wa jimbo la.Rombo Mhe.Joseph Selasini, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma wakati akitangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiunga na chama cha NCCR_MAGEUZI baada ya kumalizika kwa vikao vya bunge

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0